Kijana huna haja ya kuharakisha kuoa eti uwahi kupata watoto usije kuitwa babu

Rooney !!?? Walcott!!?? Martial...!!?? Chris Brown!!?? ....naona umeangalia viongozi wa kisiasa tu .... Unafikiri dunia nzima ni wanasiasa!!!???
Kuna hii tabia ya watu waliokata tamaa ya maisha wanadhani kuwahi kuoa na kuwahi kupata watoto ndio suluhisho la matatizo yao, basi wanataka kulazimisha kila mtu awe kama wao.

Watu kama hao hawana uhakika na maisha yao wanategemea watoto waje kuwasaidia, sina shida kuhusu kuwahi kuoa kama umeamua mwenyewe ila sio ili uwahi kupata watoto eti usije kuitwa babu wa wanao.

Tuangalie mifano hai, Obama kazaliwa mwaka 1961,akaoa 1991 akiwa na miaka 30, akazaa 1998 akiwa na miaka 37, Clinton amezaliwa 1946,kazaa 1980 miaka 34.

Putin amezaa mwanae wa kwanza akiwa na miaka 33, rais wa china kazaa mwanae akiwa na miaka 38, hiyo ni mifano michache tu ipo mingi.

Kama unategemea watoto waje wakusaidie mbeleni kwenye maisha wahi kuoa, kama hujajipanga na maisha yako ya mbeleni na ukadhani mbadala ni watoto waje wakusaidie wahi kuoa.

Mliokata tamaa ya maisha oeni ili muwahi kupata watoto msishinikize kila mtu awe na mawazo kama yenu.
 
Mbona mofano yote ya wazungu
 
Kwani akina obama ,putin,na clinton ndo umeona utolee mfano.jua hao wanaotaka kupata watoto cyo hao ni watu ambao umewackia mtaani kwenu.ww kama umri wako unaenda ni ww cyo unaanza kuwakatisha wenzako tamaa.kila moja na life yake na huwezi kumpangia.
 
Nakubaliana na wewe, Nina miaka 50, mwanangu ana 13, huwa natamani Kama angekua Mkubwa niweze kumtuma mambo makubwa ya kifamilia na hata kibiashara. Naonga mkono hoja ya kuzaa mapema
mimi nina miaka 33 sina hata boyfriend yaani nikiingia period naona kama nakataa watoto miezi inapita
jamani roho inauma
wanaume hawatulii hata tuzae ni shida
 
Mbona mifano yote ni watu wa duniani? Toa mifano ya hukuhuku kwetu changanyikeni-kivumbi na jasho?
Museveni kazaliwa 1944, kazaa mtoto 1974 miaka 30, nyerere kazaliwa 1922, kazaa 1957 miaka 35, jaz Z kazaa mtoto wa kwanza akiwa na miaka 42, rkelly miaka 31.

Mengi kapata mtoto akiwa na miaka karibu 70 na wengine wengi.

Kama huna uhakika wa maisha unategemea uwahi kuzaa watoto waje wakusaidie oa, lakini watu wote smart huwa hawafikirii kuwahi kuzaa kisa watoto waje waaasaidie. Ukifanya watoto kama non current assets wahi kuwapata.
 
Nakubaliana na wewe, Nina miaka 50, mwanangu ana 13, huwa natamani Kama angekua Mkubwa niweze kumtuma mambo makubwa ya kifamilia na hata kibiashara. Naonga mkono hoja ya kuzaa mapema
Kweli kabisa mkuu me namshukuru mungu nina miaka 29 nina mtoto anamika 4 mwakani mungu akijaalia nitafute mwingine kuzaa mapema kuzuri kama mungu akikujaalia
 
Museveni kazaliwa 1944, kazaa mtoto 1974 miaka 30, nyerere kazaliwa 1922, kazaa 1957 miaka 35, jaz Z kazaa mtoto wa kwanza akiwa na miaka 42, rkelly miaka 31.

Mengi kapata mtoto akiwa na miaka karibu 70 na wengine wengi.

Kama huna uhakika wa maisha unategemea uwahi kuzaa watoto waje wakusaidie oa, lakini watu wote smart huwa hawafikirii kuwahi kuzaa kisa watoto waje waaasaidie. Ukifanya watoto kama non current assets wahi kuwapata.

Kwa hizo miaka unazotaja,watoto wengine wanasema bora babangu angekwepo mpaka leo angekuwa anakula matunda yangu,na ukifatilia wengi wa hao watoto ni wale ambao wazazi wao waliwazaa wakiwa na miaka mingi
 
eheheee umeona eeh tuzae zetu bna sisi sio obama wala bill gate
Kweli si wabongo bhana u-clinton na u-obama tuwaachie wenyewe ila kwetu bongo kuwa na mtoto ni jambo la muhim sana na linamfanya mtu aheshimiwe na ndugu, marafiki na hata jamii kwa ujumla tizama tu jinsi watu wanavyompa pongezi "mama" pindi apatapo mtoto au kuwataarifu tu rafiki zake, "huyu ni mwanangu, anaitwa Doreen" anasoma St. Grace Medium School" kunakuwa na furaha isiyoelezeka moyoni na hapo toto liwe janja sasa.
I love children siyo siri hivyo presha lazima iwepo umri unaposonga jamani.
 
Museveni kazaliwa 1944, kazaa mtoto 1974 miaka 30, nyerere kazaliwa 1922, kazaa 1957 miaka 35, jaz Z kazaa mtoto wa kwanza akiwa na miaka 42, rkelly miaka 31.

Mengi kapata mtoto akiwa na miaka karibu 70 na wengine wengi.

Kama huna uhakika wa maisha unategemea uwahi kuzaa watoto waje wakusaidie oa, lakini watu wote smart huwa hawafikirii kuwahi kuzaa kisa watoto waje waaasaidie. Ukifanya watoto kama non current assets wahi kuwapata.
mimi sizai mtoto aje anisaidie mimi nazaa kwa sababu napenda na siku nikipata hela tu nazaa maisha tu
 
Museveni kazaliwa 1944, kazaa mtoto 1974 miaka 30, nyerere kazaliwa 1922, kazaa 1957 miaka 35, jaz Z kazaa mtoto wa kwanza akiwa na miaka 42, rkelly miaka 31.

Mengi kapata mtoto akiwa na miaka karibu 70 na wengine wengi.

Kama huna uhakika wa maisha unategemea uwahi kuzaa watoto waje wakusaidie oa, lakini watu wote smart huwa hawafikirii kuwahi kuzaa kisa watoto waje waaasaidie. Ukifanya watoto kama non current assets wahi kuwapata.
Tuongee ukweli, kuoa sio kuzaa. Ieleweke hivyo kwamba mtu mwenye mapenzi ya dhati kwa mpenzi wake hamuoi ili kuzaa, anamuoa ili waishi wote kwa sababu anampenda. Kupata mtoto ni majaliwa! Nawashangaa sana mnaoongelea kuzaa tu kwamba ndo kipimi cha kuoa au nini.

Kwani huwezi kuwa na mtoto kabla ya ndoa?

Na je huwezi kuwa na ndoa na ukawa bila mtoto?

Msichanganye mada jamani.
 
Tena kwa maisha ya sasa ambao umejaa magonjwa ,matatizo za nguvu za kiume,ajali,kila aina ya ubaya.bora kuzaa mapema na ukizaa mapema hata ukifa historia yako itakwepo tu ,sasa ww acha kuzaa mapema alafu ufe uje usikilizie tu huko peponi ulivyosahaulika mapema
 
Tuongee ukweli, kuoa sio kuzaa. Ieleweke hivyo kwamba mtu mwenye mapenzi ya dhati kwa mpenzi wake hamuoi ili kuzaa, anamuoa ili waishi wote kwa sababu anampenda. Kupata mtoto ni majaliwa! Nawashangaa sana mnaoongelea kuzaa tu kwamba ndo kipimi cha kuoa au nini.

Kwani huwezi kuwa na mtoto kabla ya ndoa?

Na je huwezi kuwa na ndoa na ukawa bila mtoto?

Msichanganye mada jamani.

Sawa kupata watoto ni majaliwa tena ni mipango ya mungu ila uczae uone utakapojuliana mtaani kama rais obama
 
Tuongee ukweli, kuoa sio kuzaa. Ieleweke hivyo kwamba mtu mwenye mapenzi ya dhati kwa mpenzi wake hamuoi ili kuzaa, anamuoa ili waishi wote kwa sababu anampenda. Kupata mtoto ni majaliwa! Nawashangaa sana mnaoongelea kuzaa tu kwamba ndo kipimi cha kuoa au nini.

Kwani huwezi kuwa na mtoto kabla ya ndoa?

Na je huwezi kuwa na ndoa na ukawa bila mtoto?

Msichanganye mada jamani.
kweli kuoa sio kuzaa na ndo maana kuna watu kibao wana ndoa ila hawana watoto tena ni makosa kabisa kusema unaoa ili uzae ndoa inakuwepo tu kuwepo watoto au wawepo.
ila kitamaduni ndoa na watoto vinaendana pamoja hata ukiwa na mtoto bila ndoa unaonekana hujakamilika au ukiwa na ndoa bila mtoto mnaonekana bado hamjakamilika hata kama hamna shida yoyote.
ila kwangu cha msingi kama mtu ana uwezo awe na familia as soon as possible .familia ina raha yake bna.
 
Kweli si wabongo bhana u-clinton na u-obama tuwaachie wenyewe ila kwetu bongo kuwa na mtoto ni jambo la muhim sana na linamfanya mtu aheshimiwe na ndugu, marafiki na hata jamii kwa ujumla tizama tu jinsi watu wanavyompa pongezi "mama" pindi apatapo mtoto au kuwataarifu tu rafiki zake, "huyu ni mwanangu, anaitwa Doreen" anasoma St. Grace Medium School" kunakuwa na furaha isiyoelezeka moyoni na hapo toto liwe janja sasa.
I love children siyo siri hivyo presha lazima iwepo umri unaposonga jamani.
tatizo maisha kaka mtu unaishi kwa mlo mmoja kwa siku mbili mtoto utampa nini? yaani maisha haya acha tu
 
Nakubaliana na wewe, Nina miaka 50, mwanangu ana 13, huwa natamani Kama angekua Mkubwa niweze kumtuma mambo makubwa ya kifamilia na hata kibiashara. Naonga mkono hoja ya kuzaa mapema
Shkamoo baba, najitolea kuwa mwanao wa hiyari, naahidi kukuheshimu na kuwa mwaminifu kwako daima. Nitume mimi baba niende..

Wako mtiifu,
Patience.
 
Back
Top Bottom