Kijana, don't settle with your agemate

Akaingia kazini kutafuta retirement plan, ndipo simp mmoja ambae alikua amewekwa kwa friendzone kwa miaka mingi anaitwa ASAP Rock akajitokeza kununua gazeti jioni
Ingawa wanawake wanachakaa mapema hasa hawa wa buku mbili ila Hakuna kitu kibaya kama mwanaume kuwa simple mbele ya mwanamke aliyechakaa hata kama maisha ni magumu sana
 
Huu uzi unanuka harufu ya vijana kuwaogopa wanawake.. inferiority complex mbele ya wanawake inawatafuna vijana hadi wanafungua nyuzi za dizaini hii. Mwanamke awe mdogo au mkubwa kiumri lazima adhibitiwe na mumewe. Tatizo kubwa lililopo kwenye jamii ni wanaume kutojiamini kunakosababishwa na upungufu wa nguvu za kiume. Hata ukimzidi mwanamke miaka 50 kama UUME HAUKO IMARA hawezi kukuheshimu.
 
Uko sahihi
 
Kuna siku nilikuwa napiga story na binti mmoja hivi age 22, aliniambia kuwa hawezi kuolewa na mwanaume mwenye miaka 23-29, labda itoke bahati mbaya, kwasababu anamuona kama wanaringana , so mwanaume awe kwenye floor nyingne yaani 30+
 
Allegedly, the Barbadois queen is seen pregnant again...KUDOS to rocky
 
Naona uzi umejaa madini ya kutosha, kazi kwenu vijana kuchukua ushauri ama kuuacha
Naona uzi umejaa madini ya kutosha, kazi kwenu vijana kuchukua ushauri ama kuuacha
Naona uzi umejaa madini ya kutosha, kazi kwenu vijana kuchukua ushauri ama kuuacha

ASAP rock ndo kwenye brand ya Ray ban msichukulie watu poa
EssilorLuxottica ndio owner wa rayban..imeanza miaka 90 ilopita there is no way Rocky owns that
 
Ingawa wanawake wanachakaa mapema hasa hawa wa buku mbili ila Hakuna kitu kibaya kama mwanaume kuwa simple mbele ya mwanamke aliyechakaa hata kama maisha ni magumu sana
Nafikiri hiki kitu kipo kiasili zaidi. Wanaume hatupo ruthless kwenye kuwahukumu wanawake kama ambavyo wanawake wapo ruthless kwenye kutuhukumu sisi.

Mfano, angalia vile mwanaume mwenye hela anam-treat stranger wa kike ambae ni masikini, harafu angalia vile mwanamke mwenye hela anam-treat stranger wa kiume ambae ni masikini. Utaona kuna utofauti. Mwanaume yupo friendly zaidi regarless of status ya mwanamke
 
Naona umekurupuka zaidi. Almost kwenye masuala yote ili balance iwepo lazima mwanaume amzidi mwanamke.

Kiuchumi: mwanaume awe juu ya mwanamke. Hii ni kwa sababu mwanaume ndie anaenda kuwa provider.

Kiumri. Hii ni kwasababu mwanaume kama kiongozi anatakiwa kuwa na uzoefu, hekima na busara zaidi. Factors ambazo zinakua zaidi kadili umri unavyosogea.

Kibaolojia: mwanamke anaingia menopause around 30's tu, na kuna sababu zingine za ukuaji mfano muonekano ngozi ya mwanaume ni pana zaidi ya mwanamke hivyo inadumu zaidi. Mwanaume hapo anatakiwa kumzidi mwanamke ili kwenda sambamba kwenye menopause na kuzeeka.

Sexualy matching is not all about your dick.
 
Kuna siku nilikuwa napiga story na binti mmoja hivi age 22, aliniambia kuwa hawezi kuolewa na mwanaume mwenye miaka 23-29, labda itoke bahati mbaya, kwasababu anamuona kama wanaringana , so mwanaume awe kwenye floor nyingne yaani 30+
Wanawake wa jf wanajua sana tu ilo suala, sema wengi wao ndio washaingia 30s kwaiyo wanatetea soko lao. Lakini hata wao wakati wakiwa uko kwenye 22 walikua na opinions kama za huyo binti uliekua unapiga nae story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…