Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

Acha unafiki, mbona thread ya kiongozi wa CCM S'wanga aliyempiga mkewe haijaondolewa?

mwita ni lazima kila thread ujibu na post zinazopinga ccm hata katika maisha m2 anayeongea sana anadharaulika hata anapoweza kuongea point,na unaonekana m2 wa jazba relax and slow down hata kama unalipwa usiwe m2mwa kiasi hicho,embu soma ile thread ya a real man,u c faiza fox ni mpinzani wa cdm bt i respect her for she doesnt put her nose that much she uses her brain bt i doubt if u even think b4 writing,anyway get a life man,sometimes read and pass

Zemarcopolo sisi tulioko huku tunajua nini kinachoendelea na tunajua kikao cha jana usiku ambacho CDM walikaa baada ya tathimini yao kuona kuna dalili za wao kushindwa. Tunajaribu kuwapa picha ya juu juu ili muelewe! Narudia kusema tukio la leo litaleta mengi zaidi coz wapo zaidi ya 400 na walitumwa kuja kufanya kazi hiyo!

Cheap politics...

Mjinga mwenyewe! Sisi siyo makasuku na wala wajinga kama ulivyo wewe fmpiganaji! Unafikiri kwa kutumia sehemu ya haja.......k... Wewe mtu atiwa kilema kwa ajili ya uroho wenu wa madaraka mnataka tuwachekee! Haja vijana wenu wameshakamatwa sasa jitokezeni kuwatetea sasa! si mlisema sisi wazushi MMEUMBUKA Sasa

kwa maneno unayoandika hufai kuwa kiongozi wa chama.Mkishindwa Igunga na wewe utavuliwa gamba.Pole sana kwa matusi yako.

Hii habari inasikitisha sana Watanzania lazima tuwe makini na hawa jamaa wa CDM sio binadamu kabisa na hawana huruma hata kidogo.
Wanataka kuingiza Tanzania kwenye machafuko makubwa ya umwagaji damu

Ritz Naungana na wewe,CDM wanafanya kazi ya kuuleta juu uozo uliofanywa na CCM na kuuweka hadharani hii yaweza amsha hasira ya watz na nchi haitakalika wananchi wakianza dai chao. na JF inasaidia kuuzoom uozo huo ili hata wenye matatizo ya kuona waone, kwa kweli CDM ni hatari kwa usalama wa taifa kwa kuwa wanotesa sasa yaweza wafika ya Hosn Mubarak et al. Tuungane sote wapenda maovu kupitia JF kuilaani CDM ili amani itamalaki TZ

Wana JF sasa hivi tupo hapa Igunga hospital usiku huu, kijana wa CCM aliyekuwa anabandika mabango kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za CCM kesho, ametekwa na vijana wa CDM na kumwagiwa tindikali usoni,, kwakweli ameharibika vibaya na inasikitisha sana. Hawa CDM kwanini wameweka fujo na ughaidi mbele? Sasa huyu kijana hawezi kuona na ukimwona utarokwa machozi. Hebu hizi tamaa na uroho wa madaraka usituingize kwenye vita,, ni kitu kibaya kabisa kilichofanyika. Sasa hivi waandishi wa habari wamefiaka hapa, pengine mtasoma kwenye magazeti na kuona picha. Watanzania tukatae roho za kijambazi kama hizi

Watakuwa vijana wa Ngunguri hao

Fmpiganaji mimi siyo kiongozi ninamapenzi na CCM yangu achana na mimi we endelea kuwa kibaraka wa CDM

huu ni uhunitu. kwani cgm pekeyao ndo wapinzani wa ccm huko igunga??
kwa nini mkimbilie kusema ni cdm??
mnaushahidi gani ??
kwanini hukuuweka hapa??

Nyerere aliiasa ccm, ijifunze kuishi na vyama vingi vya siasa. Fuatatilieni huyo kijana na mabango yake, usiku alikuwa anabandika kwa idhini ya nani? Maeneo gani? Je, hana ugomvi na wenzake hapo igunga? Je, ilikuwa ni kubandika mabango tu au alitaka akabandike na mambo yetu yale? Hebu njooni hapa na habari iliyoshiba. Binafsi sitashaanga kusikia kuna mtu kapewa kipondo alipokutwa anauza nyama ya kitimoto mbele ya lango la msikiti! Just mfano tu, nasubiri ufafanuzi wa huyo kijana.

Fmpiganaji mimi siyo kiongozi ninamapenzi na CCM yangu achana na mimi we endelea kuwa kibaraka wa CDM

wewe unajulikana ni nani ila sheria za JF haziruhu kutajana majina.Nakuhakikishia na naomba uninukuu Igunga ccm mtashindwa na utakuwa ndio mwanzo wa mwisho wako katika siasa za ccm.Pili mimi si mwanachama wa chadema kama ulivyonitusi kuniita kibaraka,ila ni kijana huru ninaekandamizwa na mfumo wa kibaguzi unaoujua na kuushabikia.

Ritz Naungana na wewe,CDM wanafanya kazi ya kuuleta juu uozo uliofanywa na CCM na kuuweka hadharani hii yaweza amsha hasira ya watz na nchi haitakalika wananchi wakianza dai chao. na JF inasaidia kuuzoom uozo huo ili hata wenye matatizo ya kuona waone, kwa kweli CDM ni hatari kwa usalama wa taifa kwa kuwa wanotesa sasa yaweza wafika ya Hosn Mubarak et al. Tuungane sote wapenda maovu kupitia JF kuilaani CDM ili amani itamalaki TZ

siamini kama nasoma mawazo kama haya kutoka kwa great thinker!
Kwanza unakubali kua ccm wana uozo na ndio cdm wanaoufichua
Pili unajidhalilisha kwa kusema ni bora maovu hayo yafichwe ili tuendelee kukaa kwa amani feki
kuliko ifichuliwe ili tusije dai haki???
aibu sana hii.nyie ccm sidhani kam ni watu wqa kawaida.............!

Hili nililitarajia kutoka kwenye chama kilichozoea fujo na maandamano kiasi cha kukodi wala ndumu kwenye maandamano yao. Wasiwasi wangu hii thread haitaishi kufikia asubuhi kabla haijafutwa eti kwa kuwa hakuna ushahidi. Wanasahau jinsi wanavyojaza thread za kumkashfu Kikwete kila uchao.

Hizi ni propaganda za CCM na NUNGAYEMBE lake CUF. Vijana hao wamezidiana kete za posho ya NAPE. Hiyo tenda walipewa vijana wengine na yeye akawazidi kete hao vijana ni habari kutoka kwa jamaa zake wa karibu mimi nipo hapa igunga. Hiyo ni posho ya kihelehele Nape imemuumiza huyu kijana nayote ni kutokana na umasikini wa watanzania kugombea posho, kofia, blauzi na kanga.

Ninafurahi sana kuona jinsi ccm wanavyoigwaya cdm kwa kuwa wanajua hawawezi kushinda bila mbinu chafu. Sidhani kama hao waliomwaga tindikali walikuwa na bendela ya cdm au walijitaja kwamba wao ni cdm, kwanza ilikuwa usiku, uchunguzi ulifanyika saa ngapi na kutoa taarifa kwamba wahusika ni cdm? Kama walijitaja au kuonesha bendela na wakamwagia mtu tindikali basi hao ni ccm wenyewe, na kwa taarifa yako kesho watakukata wewe uume na kusema kuwa cdm wamefanya. Ukishabikia ccm, una hatari kubwa, kwa kuwa kama chama tawala kina uwezo wa kupika jambo lolote, uwe makini.

Wana JF sasa hivi tupo hapa Igunga hospital usiku huu, kijana wa CCM aliyekuwa anabandika mabango kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za CCM kesho, ametekwa na vijana wa CDM na kumwagiwa tindikali usoni,, kwakweli ameharibika vibaya na inasikitisha sana. Hawa CDM kwanini wameweka fujo na ughaidi mbele? Sasa huyu kijana hawezi kuona na ukimwona utarokwa machozi. Hebu hizi tamaa na uroho wa madaraka usituingize kwenye vita,, ni kitu kibaya kabisa kilichofanyika. Sasa hivi waandishi wa habari wamefiaka hapa, pengine mtasoma kwenye magazeti na kuona picha. Watanzania tukatae roho za kijambazi kama hizi

kijana wa watu anatolewa kafala mafisadi hamjambo polopaganda sasa imevuka mipaka mumeona ile ya zamani imeshitukiwa kafu chama cha kidini kukamatwa kontena limejazwa visu chadema chama cha wachaga cha msim cha wakatolik hayo yote hayotoshi sasa kinatumia tindikal uongo unao elekeana na ukweli hauna nafasi tena nahicho nikipimo kufilisika kisiasa

Similar Discussions

Back
Top Bottom