Sword
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 864
- 183
Tumia akili kidogo tuu.
Huyo jamaa haiwezekani kuwa alibatizwa kanisani kwa jina hilo,
Ni lazima alibadili dini baada ya kugundua aliingizwa chaka na wazazi wake.
Safi sana, kwahiyo unakubaliana namimi kuwa majina hayamaanishi dini ya mtu husika? Pili, huyu hakuwahi kuwa muisilamu labda kama unataka kutuambia aliiba cheti cha muisilamu.
Anaetakiwa kutumia akili ni wewe