kijana akutwa akibaka mbuzi

kijana akutwa akibaka mbuzi

Sili nyama ya mbuzi kutoka Geita tena. sasa kama dogo ndio mchezo wake na hua anapiga bao na mimi na supu ya utumbo wa mbuzi ni kama uji na mgonjwa. mtu unaweza kula bao la dogo hvhv. Wasukuma warekebisheni vijana wenu
 
Kwani Geita wale wanaojiuza hawapo????????? Ngoja nianzishe uzi wa kuelekeza kila wilaya na kila mkoa sehemu wanakopatikana wale wanaojiuza ili kitendo kama hiki kisijirudie tena.
 
Waganga wa kienyeji nao siku hizi wana masharti magumu sana.....Inawezekana hili ni moja wapo coz km kweli ni hamu ya ku do basi sio kiivo
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Sili nyama ya mbuzi kutoka Geita tena. sasa kama dogo ndio mchezo wake na hua anapiga bao na mimi na supu ya utumbo wa mbuzi ni kama uji na mgonjwa. mtu unaweza kula bao la dogo hvhv. Wasukuma warekebisheni vijana wenu

usiwajumlishe wasukuma wote hiyo ni tabia ya huyo kijana peke yake na sio vijana wote
 
Huyo mbuzi alipoingizwa gest wenye gest hawakustuka ? Huyo mbuzi ni ke au mee ?

Mbuzi ni ke,sababu ya kumtambua ni kwakua amebakwa,kuna kubaka=ke tena awe amefikia miaka 18 na kuendelea,kunajisi=?,kulawiti=?
 
Katika hali isiyoya kawaida, kijana Rashid Manyanda, miaka 21 mkazi wa kata ya Kalangalala wilaya ya Geita, jana jioni majira ya saa 1 alikutwa akimbaka mbuzi. Kwa mujibu wa taarifa kijana Rashid alikamatwa kutokana na mtego aliowekewa na mwenye mbuzi bwana Geofrey, kwa mujibu wa mashuhuda bwana Rashid alimfuata mbuzi alikofungwa na kuvua nguo zote kisha akaanza kumuingilia mbuzi huyo na hapo ndipo bwana GEOFREY ambaye ndio mwenye mbuzi alifika akiwa na watu wengine na kumkamata Rashid. Hata hivyo jitihada za kumfikisha Rashid polisi ziligonga mwamba kutokana na mama mzazi wa Rashid kuomuombea msamaha mwanae na kumsihi mwenyembuzi amlipe yaishe. Hata hivyo sakata hilo liligonga hodi serikali za mtaa ambapo mwenye mbuzi aliomba anunuliwe mbuzi mwingine kwani hawezi kukaa na mbuzi alieathiriwa kisaikolojia source: Wapo radio
ndiyo maana huwa nasema BANGI SIYO NZURI,HZO ZOTE NI BANGI ZILIZOMTUMA AFANYE HUO UPUUZI
 
Kuna mchezaji wa Milambo ya Tabora alikuwa anaitwa Said John(correct me please).
hizo zote ni akili za BANGE,SIYO NZURI KABISA,UKISHATUMIA UNAWAZA UPUMBAVU TOFAUTI TOFAUTI,KMA HUO KUANZA MASUALA YA UDINI,ZOTE NI BANGE HZO
 
rashid amtolee mahari huyo mbuzi amchukue jumla.Na amchukulie na kumpa heshima ya mke wa kwanza wengine watafuata kumtunza mke mwenzao.
 
Katika hali isiyoya kawaida, kijana Rashid Manyanda, miaka 21 mkazi wa kata ya Kalangalala wilaya ya Geita, jana jioni majira ya saa 1 alikutwa akimbaka mbuzi.

Kwa mujibu wa taarifa kijana Rashid alikamatwa kutokana na mtego aliowekewa na mwenye mbuzi bwana Geofrey, kwa mujibu wa mashuhuda bwana Rashid alimfuata mbuzi alikofungwa na kuvua nguo zote kisha akaanza kumuingilia mbuzi huyo na hapo ndipo bwana GEOFREY ambaye ndio mwenye mbuzi alifika akiwa na watu wengine na kumkamata Rashid.

Hata hivyo jitihada za kumfikisha Rashid polisi ziligonga mwamba kutokana na mama mzazi wa Rashid kuomuombea msamaha mwanae na kumsihi mwenyembuzi amlipe yaishe.


Hata hivyo sakata hilo liligonga hodi serikali za mtaa ambapo mwenye mbuzi aliomba anunuliwe mbuzi mwingine kwani hawezi kukaa na mbuzi alieathiriwa kisaikolojia

source: Wapo radio

Kumbe ni Rashid!!!
 
  • Thanks
Reactions: y-n

Similar Discussions

Back
Top Bottom