Jina la kijana: RASHIDI
Kaazi kwer kwer
so akiwa rashid ndo nini?? yule mzungu aliyeoa mbwa jina lake nani vile??
Jina la kijana: RASHIDI
Kaazi kwer kwer
mikazó;8772606 said:hizo zote ni akili za BANGE,SIYO NZURI KABISA,UKISHATUMIA UNAWAZA UPUMBAVU TOFAUTI TOFAUTI,KMA HUO KUANZA MASUALA YA UDINI,ZOTE NI BANGE HZO
Do you think I care about "mzungu" the way you care about Rashidi?!!!so akiwa rashid ndo nini?? yule mzungu aliyeoa mbwa jina lake nani vile??
Huu ni ujinga uliokithiri kuanza kuleta udini kwenye hii thread..ati anaitwa rashidi mumeanza kudhihaki dini fulani!! Mtu kuitwa rashidi tena huku tz bara ni lazima awe wa dini ile?? Poor u...
Nimeona kama Mrs. vile au nimekosea?? Kama ni Mrs. Huna ruhusa kujadili haya mambo. Dini yako haikuruhusu weye. Nyamaa kimya. Kwanza nani kakudanganya ati Mwanamke ana dini? Ni ipi hata uitetee weye. Acha wanazuoni waje huku si weye.
Ati mtu kuitwa Rashidi huku bara si lazima awe wa dini ileeee. Mmeanza kuwakana?? Angekuwa kuchinja mtu? Nitabishana na wanazuoni si weye. Dini yetu hairuhusu

E ee mkuu...vidole vyangu, vocha nimeweka mwenyewe na hayo ni maoni yangu mimi.. mm kua na dini au laa ,km mke/ mume hayakuhusu..pilipili usoila inakuwashia nn??..ww nimekushika mkono ili ubishane na mm?? Wa wapi ww?...halaf usiniambie kwamba hujui km wakina Rashid John wapo wengi tuu ..au ndio umeamua kuvaa jezi??..naona km Umechelewa dkk ni ya tisini... mi natoka uwanjan na pnt zangu tatu filimbi imeshapulizwa...chao!
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia Tanzania anaitwa Profesa Abdulkarim Mruma na ni Mkristo tena ni muumini mzuri tu wa kanisa lake.Dini zingine bana. Hazifai kabisaaaa. Ona huyu kijana RASHIDI alicho fanya hapa?
Rashidi namfaham sana ana kaka yake anatwa ZAKARIA na mdogo wake anaitwa SUZANA wote ni wa ROMAN KATOLIKI kwetu sisi haya majina tunayatumia tu na hayahusian na dini.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia Tanzania anaitwa Profesa Abdulkarim Mruma na ni Mkristo tena ni muumini mzuri tu wa kanisa lake.
Wewe una makosa ya kiuandishi,hujui kuweka mkato sehemu inayohitajika wala kituo.
Inahitaji juhudi za ziada kuweza kuelewa namna ulivyoandika.Anyway,habari tumeipata na tunatoa pole kwa huyo mbuzi aliyeathirika kisaikolojia.
"Nlikuwepo":bolt:
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia Tanzania anaitwa Profesa Abdulkarim Mruma na ni Mkristo tena ni muumini mzuri tu wa kanisa lake.
Tumia akili kidogo tuu.
Huyo jamaa haiwezekani kuwa alibatizwa kanisani kwa jina hilo,
Ni lazima alibadili dini baada ya kugundua aliingizwa chaka na wazazi wake.[/
Safi sana, kwahiyo unakubaliana namimi kuwa majina hayamaanishi dini ya mtu husika? Pili, huyu hakuwahi kuwa muisilamu labda kama unataka kutuambia aliiba cheti cha muisilamu.