fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,689
- 9,288
Najua chache,kisukuma,kinyamwezi,kichagga na kidogo kimasaiUnajua lugha zingine zaidi mpaka useme hiyo ni nzurii
Omera wei tugoKuiba kura kwa kijaluo mnasemaje
Nilifika shiratii...pia nikaingia Bwacha kule ziwanii....mpakani kabisa na Kenya....kupitia ziwani.....safiiiMademu wa kijaluo ni warahisi sana lakini pia wanajua mambo.
an okang'eyoMademu wa kijaluo ni warahisi sana lakini pia wanajua mambo.
Kuna tofauti gani kati ya mjaluo wa 255 na yule wa 254?Nilifika shiratii...pia nikaingia Bwacha kule ziwanii....mpakani kabisa na Kenya....kupitia ziwani.....safiii
Kama una mpango wa kwenda kisumu,jifunze.Lengo la uzi ni kuelezea kuwa kijaluo ni moja kati ya lugha nzuri za kiafrikaUnashauri wengine tujifunze sio? Ama lengo la uzi ni lipi?
Ukweli hakuna,maana lugha ni ile ile,utamaduni ni uleuleKuna tofauti gani kati ya mjaluo wa 255 na yule wa 254?
Wa 255 huwa wamelala sana sio kama hawa wa 254 ukiwaita kwenye maandamano hukinukisha haswa.Kuna tofauti gani kati ya mjaluo wa 255 na yule wa 254?
Hujaelewa swali au yawezekana umelewa.Ukweli hakuna,maana lugha ni ile ile,utamaduni ni uleule
hoyo ni tofauti ya watanzania na wakenya,sio ya wajaluo wa kenya na tanzaniaWa 255 huwa wamelala sana sio kama hawa wa 254 ukiwaita kwenye maandamano hukinukisha haswa.
Vipi kwenye suala la umoja na makabila mengine?Wa 255 huwa wamelala sana sio kama hawa wa 254 ukiwaita kwenye maandamano hukinukisha haswa.
Tofauti ya ideology tu wale wa 254 wapo speed sana kwenye life kwa sababu wameishi kwenye ubepari hawa wa 255 ni zao la ujamaa.Kuna tofauti gani kati ya mjaluo wa 255 na yule wa 254?
iwapo wewe una majibu bora zaidi ni vema saidia kujibuHujaelewa swali au yawezekana umelewa.
rudia kusoma tena au omba msaada wa ufafanuzi wa Swali
Hapo unajisemea wewe kwamba "wewe hujui " kwhy sentensi ilitakiwa iwe hivi "an akang'eyo " ,....okang'eyo ni unamsemea mtu mwingine kwamba hajuian okang'eyo
Ni watam haswaa sijui ni kwa sababu ya ule weusi waoMademu wa kijaluo ni warahisi sana lakini pia wanajua mambo.