Kiingilio Tsh 10,000/- Wanawake bure!

Kiingilio Tsh 10,000/- Wanawake bure!

King'asti , leo umentisha ! Mbona umekuja fasta sana?
Ni kama hicho laptop/mob/comptr , utumiayo jina lako likiwa mentioned inakupa alarm/ alert !
Nway umesomeka vema!

chezeiya muke ya Paw? Gadgets zetu ni za kimataifa. Bbm wanatumia wenetu kututumia picha za uji wakiwa shule. Sisi ndo sisi kaka!
 
Last edited by a moderator:
chezeiya muke ya Paw? Gadgets zetu ni za kimataifa. Bbm wanatumia wenetu kututumia picha za uji wakiwa shule. Sisi ndo sisi kaka!

Sawa bwanaa! Nevertheless kwa Paw , ushawahi kuzamia uzamili ndani ya uzamivu ukajua "muko wangapiiii ?"
 
Last edited by a moderator:
Tatizo ni kwamaba unaweza kuandaa sherehe yako na wanamama wasije na nadio maana hata Robert Nesta Marley aliimba akisema No woman no cry..............................
 
Back
Top Bottom