Kiingilio Tsh 10,000/- Wanawake bure!

Kiingilio Tsh 10,000/- Wanawake bure!

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Wana wa Bodi na wadauwenza.
Mara kadhaa nasikia matangazo through media zetu , kama headin yangu inavyosoma.
Kattu na kamwe sijasikiaga "wanaume bure wanawake Tsh kadhaa!"
Sitaki kabisa niamini kwamba binadamu hawa hawana uwezo kua'afford hiyo makitu.
Nakua na maswali mengi kwa majibu haba!
Offer hizi kwa nini zisielekezwe kwa walemavu ?
Nini mantiki yake binadamu hawa wabwedeshwe hata kwenye mastarehe?
Au ndiyo tuseme hata kwenye kumbi za starehe "viti maalumu" vinahusika?
 
Ni motivation tu, sio issue ya kumudu kulipa.
na bado wanawake hawatokei sehemu hizo kwa kiasi hicho pamoja na ofa! Wanaume wakiambiwa men free si ukumbi utabasti hehehe. Chezeiya bia za elfu kumi ya kiingilio ikachakachuliwa na nyagi viroba 2?
 
Karibu chimbo jipya club fusion ama lenana hotel
 
Wanapewa offa hiyo ili wakaujaze ukumbi husika ndipo sisi midume na uroho wetu wa kuwapenda tutalipa viingilio ili tuwaone tuwatongoze na ikiwezekana tuwaoe.
Nalog off
 
Ni motivation tu, sio issue ya kumudu kulipa.
na bado wanawake hawatokei sehemu hizo kwa kiasi hicho pamoja na ofa! Wanaume wakiambiwa men free si ukumbi utabasti hehehe. Chezeiya bia za elfu kumi ya kiingilio ikachakachuliwa na nyagi viroba 2?

Kwa mf. Wewe King'asti ushawahi changamkia ofa sampuli hii ?
 
Last edited by a moderator:
Wanapewa offa hiyo ili wakaujaze ukumbi husika ndipo sisi midume na uroho wetu wa kuwapenda tutalipa viingilio ili tuwaone tuwatongoze na ikiwezekana tuwaoe.
Nalog off

Washawasha kwa comment hii inasogeza kuamini kua hii ndy main reason.
 
Last edited by a moderator:
Wana wa Bodi na wadauwenza.
Mara kadhaa nasikia matangazo through media zetu , kama headin yangu inavyosoma.
Kattu na kamwe sijasikiaga "wanaume bure wanawake Tsh kadhaa!"
Sitaki kabisa niamini kwamba binadamu hawa hawana uwezo kua'afford hiyo makitu.
Nakua na maswali mengi kwa majibu haba!
Offer hizi kwa nini zisielekezwe kwa walemavu ?
Nini mantiki yake binadamu hawa wabwedeshwe hata kwenye mastarehe?
Au ndiyo tuseme hata kwenye kumbi za starehe "viti maalumu" vinahusika?
Judgement, wanawahamasisha wanaume kwenda kutumia PESA kwenye kumbi, wanaume bila mwanamke hakuna starehe.
 
Mukubwa kyanakyamuhaya !
Kwanza nitambue uwepo wako hapa Uzini.
Pili , nithubutu kusema huoni mchango wako waweza create agenda m'badala? Hapo uliposema "wanaume bila wanawake starehe hakuna" swali ; "je wanawake bila walume starehe watakuanayo?"
 
Last edited by a moderator:
Mbona jibu simpo sana Judgement , hawa watu wa bar wanataka vuta mijibaba tujazane teleee kwenda kusaka warembo.... Ila mi naamini mrembo haendi ladies free.
 
Hata hii comment yako Donn ina make sense!
Upo ukweli ktk haya nauona!
Sina hakika kama mrembo like King'asti hajawahi changamkia fursa kama hizi .
 
Last edited by a moderator:
When i want something or i wanna go somewhere, price or cost is the last thing on my mind. I just check my balance. So kujibu swali.lako, nikiingia hapo ni kwa sababu nataka kuingia na sio kwa ajili ya bure.
Kwa mf. Wewe King'asti ushawahi changamkia ofa sampuli hii ?
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume kwa demu,ni sawa na mfupa kwa fisi.
Club bila ninyi....................hata niwe na lundo la marafiki
Starehe yetu kubwa ni pombe na ninyi
kuolewa mna haki wala msiite bahati we unadhani mwanangu mi nitalea na nani?
haaaaaaaa!ni bahadhi ya mistari ya MANGWEA
 
When i want something or i wanna go somewhere, price or cost is the last thing on my mind. I just check my balance. So kujibu swali.lako, nikiingia hapo ni kwa sababu nataka kuingia na sio kwa ajili ya bure.

King'asti , leo umentisha ! Mbona umekuja fasta sana?
Ni kama hicho laptop/mob/comptr , utumiayo jina lako likiwa mentioned inakupa alarm/ alert !
Nway umesomeka vema!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom