Kiingilio cha madhabahu za giza

Kiingilio cha madhabahu za giza

Ulichoniudhi mimi umechelewa sana kuipost, uwe unazipost kuanzia saa tano na nusu mpaka saa nane na nusu usiku,tena uwe unazinogesha na ile mipicha picha ya kutisha maana mi bila kutazama horror movie huwa kausingizi hakanogi
Ndo unashiriki ibada ya kilingen hivyo ujue,ila nyuma ya keyboard...yaan unatoa kafara la damu kwa kugusa keyboard ya simu au computer mana bila vidole huwez shiriki
 
Ndo unashiriki ibada ya kilingen hivyo ujue,ila nyuma ya keyboard...yaan unatoa kafara la damu kwa kugusa keyboard ya simu au computer mana bila vidole huwez shiriki
 
.
223618ebd791c4a146d021bb2106daf7.jpeg

Jr
 
Mshana acha tu na wanaopingana Nazi wanapata changamoto kuuubwa sana. ! Kuna uncle wangu alienda German bariidi ikamzidia kule akarudishwa, ndugu zake wakasema ni kwa vile hajachinjiwa mbuzi, mbuzi ikachinjwa.. Trust me anaendaga tena na tena hata misimu ya baridi ila hajawahi rudishwa...! Hapa naona shetani anavyowaletea tricks
Hii kitu inanitokea sana katika maisha huwa wananilazimisha kwenda kujichinja mbuzi makaburi ya ukoo hakika nilisha kataa kwa sababu kaka yangu alikua anaakili darasani lakini baada tu ya apo akapotea kwenye ramani ya taaluma mpka leo yani mpka akaanza kunywa pombe mpka leo na bangi kwa mbaali
 
Ilikuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa anaweza tu vizuri darasani sasa mzee wetu akasema ili amlinde waende kutambika kwenye mizimu kumbe ndiyo wakampoteza kabisa
Mzee hakupaswa hata maramoja kufanya hicho kitendo...tiba ni kwa waumwao sio wazima...tatizo la makafara kama hayo ukikosea kidogo tu umekwisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom