mwaisabila
Member
- Dec 24, 2013
- 66
- 43
Aksante ndugu hapa ume maliza kitu, Ni damu ya yesu tu na neno ndo ngao yetu, sadaka na dhabiu
Aaamen mwaisabilaAksante ndugu hapa ume maliza kitu, Ni damu ya yesu tu na neno ndo ngao yetu, sadaka na dhabiu
Naam! Ndio kakupa hiyo miti BURE uitumie kwa matatizo yako e.g. ya dawa, chakula, ujenzi, kivuli, uzio(Ulinzi), starehe n.k.. Sasa ww bado unapiga magoti unamshurutisha unataka aje yeye tena kufanya kazi ya kuichuma akupe. Mbona alishakupa??? Hapo kuna tatizo gani? ....Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Yesu ni jibu pekee la matatizo yako
O.K. Poa sana. Kwa hiyo Ndg. usiende Hospitali, Usitumie chandarua, Usijali kula na kuvaa vizuri. Ww endelea tu kunywa damu ya yesu, neno, sadaka na dhabihu. Inatosha. Wenzio wanapotezwaga/wanatupwaga lakini ww unajipoteza au kujitupa mweyewe 🤣🤣😲Aksante ndugu hapa ume maliza kitu, Ni damu ya yesu tu na neno ndo ngao yetu, sadaka na dhabiu
Duh..Naam! Ndio kakupa hiyo miti BURE uitumie kwa matatizo yako e.g. ya dawa, chakula, ujenzi, kivuli, uzio(Ulinzi), starehe n.k.. Sasa ww bado unapiga magoti unamshurutisha unataka aje yeye tena kufanya kazi ya kuichuma akupe. Mbona alishakupa??? Hapo kuna tatizo gani? ....Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.






Sahihi kabisaukijiungamanisha na hizi madhabahu umekwisha mipango yote ina fail mwanzoni utaona raha lakini akili zikirudi utajuta na muda umeshapiteza na unakua umesha change focus unaanza upyaaa hapo ndipo wengine wanaugua uchizi
Pambana, fanya maombi, toa zaka na sadaka.. Jiapize kutoshindwa.. Mtazamo huleta uhalisia.. Utashinda zaidi ya kushinda...NAKUOMBEANipo katika vita kali na mtu analazimisha niende huko kusolve!!! Nashukuru bro.Umeniongezea Nguvu nilishaanza kulegeza kamba....
Nashukuru mkuu! Wanawatumia sana wake zetu kututeka,Ila hapa Kitaumana kwa kweli.Pambana, fanya maombi, toa zaka na sadaka.. Jiapize kutoshindwa.. Mtazamo huleta uhalisia.. Utashinda zaidi ya kushinda...NAKUOMBEA