Kuna wale mnaojikuta wajuaji, yaan unataka kuwakwepa mizimu(miungu ya asili) kwa kwenda kanisani/msikitin, yaan unamkwepa mzimu wa babu yako ambay kila mwaka mmekuwa mkimtolea sadaka za damu ya wanyama, mazao ama vinywaji, then unakimbilia kwa yesu ambaye unais atakulinda usidhurike na hawa mizimu,.
nikwambie ukwl tu hata huyo yesu sjui yehova, Bwana Mungu, wote ni wale wale ambao watataka ili ujiunge nao ukubali kafara yao ya kimzimu ilyofichwa kama mzimu wa kigeni unaosisitiza amani n upendo.
ili uungane na uyo yesu inakubid ukubali damu yake ikulinde(tambiko la damu) hii pia ni zindiko la kishirikina ambalo linawaalika mashetan wenye Nguvu kuja kukukinga dhid ya vijishetan visivyo na nguvu(mizimu).
Mungu wa kwel haitaj uponyaji wa wanadamu upatikane kwa kuhusisha damu ya kiumbe chochote, iwe wana wake( first son& second son,malaika,maserafi,makerubi na watu), ama wanyama wa aina yoyote, huyo yesu mnaeomba damu yake iwaponye jiulize huyo kwa mujibu wa stori za vitabu vyenu, ni alishasurubiwa na kuteswa zaid ya miaka2000 ilyopita na dam yake ilishamwagika ikakauka, then how the stupidity umuombe leo hii damu yake katk majeraha yaliyopona? je unamtesa tena na kumjeruhi il dam itoke ikulinde? je uoni kuwa wew unashiriki makafara ya kutegemea damu iwe kinga kwako? biblia iyo iyo msomayo inawaumbua kuwa mtu yeyote amtegemee Mungu tu na sio kuweka tegemeo kwa mtu ama kitu chochote, je nyie mnaitoa wapi iyo damu ya bwana wenu mwanakondoo sjui beberu huyo mnaitoa wapi iyo damu??? hili swali hata yale matapel yanayojiita maaskofu na manabii hayawezagi kujibu zaid ya kuleta vitisho vyakipumbavu.
niwaeleze ukwel tu ndugu zangu, ukitaka uponyaji wa kwel, wala usitegemee sadaka kumshawishi Muumba wa kwel akuponye maana vitu vyote ni vyake, sasa why umpe rushwa? inamaanisha humuamn kama anaweza kukuponya , bila kumuhonga, huyo yesu wenu(pepo azazel) huyu kwel ukimuomba huponya, lkn kwa mashart ya kutoa kafara lake na kuikubal tambiko ya damu yake ya kishetan ikufunike(kamwe hujakimbia tatizo),maana pepo hawez muumiza pepo mwenzake zaid ya kufanya fitna za kukuzubaisha ili umuamini uyo yesu fake kuw kakulinda, but nje ya pazia unashiriki ibada za kishetani.
Uponyaji wa kwel ni kuacha izo ibada na matambiko haijarish watakudhuru au vip au ukubali kufuata miiko ya hao mizimu ili wasikudhuru, lkn si kukimbilia kwa wachungaji et wakuombee kwa jina la huyo pepo la kigeni(yesu, jesus,azazel, beberu, mwanakondoo,zeus,Krishna) huyu hawez kukuponya, mtajidanganya bureee..
Mababu zetu walifanya makosa makubwa kuunganisha koo zao na izo imani za kishenz ambazo ndzo zna affects kizaz cha waafrika waleo, lkn makosa makubwa zaid walyofanya ni kukubali imani za kigeni (ukristo&uislam kuwa imani zao kuu) hapo ndpo matatizo yalipoanzia, ni bora wangebaki bila iman yoyote haya mateso ya kiroho wala yasinge wakumba kama leo hii...
note:- mizimu ni aina ya viumbe wa kiroho ambao wapo ktk kundi la mapepo(majini,vibwengo, mizimu,) hawa wote ni mapepo ktk vyeo tofaut, ambao asili yao ni uzao wa malaika walianguka wakiwa na lusifa kuja kuzaa na kundi la wanadamu na kupelekea uzao mpya wa viumbe wa kiroho wenye miili ya wamadamu nusu, nusu wanyama wenye laana, na baada ya gharika hawa wote walikufa kifo cha kimwil ambapo miili yao iliteketea lkn roho zao ni immortal haziwez kufa mpka kihama, na hawa ndyo wanaoitesa jamii ya black people kwa kuintroduce imani za kishetan kama izo dini, matambiko ya kiasili, na ibada zote za kimizimu...wengi wenu hamuujui ukwel sabb ya kukumbatia uongo wenu uo, ndiomaana hamponi mnateswa na viumbe dhaifu(mizimu) ambayo ilitakiwa iwaabudu ninyi watu weusi ambao ndyo wakuu kulko hivyo vipepo...
View attachment 1958324