Kiingilio cha madhabahu za giza

Kiingilio cha madhabahu za giza

Hii dunia ina mambo mengi na vikolombwezo balaa kuna cku usiku nliona vitu vya kogofya adi kojo lilinitoka apo apo ogopa kutembea usiku.
 
Unapoenda kwa mganga wa kienyeji unaenda kutengeneza maagano
Ukifika pale lazima yatatokea haya
1. Atavaa mavazi rasmi ya kazi (inaitwa kuvaa miongozo)
2. Mtakuwa kwenye chumba chenye madhabahu inayoendana na shughuli zake(kilinge)
3. Utajieleza ama atakueleza matatizo yako!
4. Utatoa pesa na kuiweka kwenye chombo maalum kilichopo madhabahuni ama karibu na hapo! Hupangiwi kiasi(hapa unatoa kiingilio bila kujua)
Ukishatoa yatafuata matibabu utatumwa vya kuleta, lazima damu itahusika in most cases! Kwanini damu? Kwakuwa ni chakula cha kuzimu! Na hapa baada ya kuingia kwa kutoa kiingilio sasa unaanza kutumikia, unaanza kuhudumia
Yatakayoendelea yote ni utumwa, utaelekezwa ya kufanya na utaambiwa ufuate masharti la sivyo hutafanikiwa! Unatii bila kujua kuwa tayari umeshaingia kwenye milki na maagano mabaya kabisa
Kwa kiasi kidogo kabisa cha pesa, unaharibu mchoro wako wa maisha kwa kuingiza visivyotakiwa! Yani unajaribu kuiedit asili! Unataka kuusahihisha uumbaji!
Utapata utakacho lakini kwa masharti utatumikia maagano na mamlaka za kuzimu! Utakuwa ni MTU wa kutoa makafara ya damu kwenye madhabahu za giza... Utapata mafanikio lakini ni ya muda,..
Kadiri muda unavyoenda utaanza kuchoka na kuanza kugundua ukweli kwamba huna amani tena huna furaha tena na unaishi kwenye utumwa wa maagano na masharti mengi! Unajiona tofauti kabisa na ulivyokuwa mwanzo! Unaikumbuka asili yako(ukibahatika)...sasa vita kamili huanzia hapa! Kutaka kufuta yale marekebisho uliyofanya tena kwa kiingilio na kafara!
Ushirikina haujawahi kumuacha mtu salama! Kuwa makini unapotafuta suluhisho la matatizo yako!!!!
Mungu atusimamie kwenye hili limetesa watu wengi sana hawana Furaha ya maisha tena.
 
Mshana Jr kuna ile wanasema kutambulisha watoto kwenye ukoo...!
Mbuzi anachinjwa nyama inaliwa na wanaukoo wote, kama MTU atagoma kufanya hivyo basi wanae watakuwa na shida mbali mbali. Mfano uncle wangu amegoma ila wanae wa kwanza wa kiume na kike wana shida kubwa sana ya macho,
Niliwahi kumsikia bibi akisema ni kwa sababu baba yao amekataa kuchinja mbuzi ya kuwatambulisha kwenye ukoo. Nadhani haina tofauti na mganga wa kilingeni. Ile mizimu inakuamdama popote uendapo lazima itataka uje utukuze mizimu kwa mbuzi labda uwe tasa
We ni mchaga ms mol.? Just asking
 
Kuwepo kwa ulimwengu wa giza maanaake kuna ulimwengu wa nuru. Any reaction there is an equal opposite reaction. Tujichunge katika hili kwa neema zetu za maisha yajayo
 
Kuwepo kwa ulimwengu wa giza maanaake kuna ulimwengu wa nuru. Any reaction there is an equal opposite reaction. Tujichunge katika hili kwa neema zetu za maisha yajayo
Aaamen
 
Aaamen but vp kwa wale wasio waamini
Mshana jr, kwa wasioamini nikuwajulisha chochote kile ambacho unadhani watakuamini. Umekiri wazi kuwa shetani wamfahamu right? Meaning that You're aware of the opposite might power too don't you?
 
Mshana jr, kwa wasioamini nikuwajulisha chochote kile ambacho unadhani watakuamini. Umekiri wazi kuwa shetani wamfahamu right? Meaning that You're aware of the opposite might power too don't you?
Perfect... But remember satan is not just an idol seating there motionless..
 
Perfect... But remember satan is not just an idol seating there motionless..
Haha he's been motivating a lot on his side. Najua kuwa ana deals kubwa za jinsi gani ya kurule the whole world achana na individual deals; endelea kuwajulisha watu unachokifahamu ili wajue ukweli na wafanye maamuzi yao binafsi either kujiokoa na dhahma zilizopangwa kutokea katika ulimwengu wa giza ama kukutana nazo wakiwa hawana credibility ya kuuruthi ufalme wa mbinguni.
 
Kudos.. noted with many appreciations
 
HABARI ZA KUSADIKIKA TU HIZI
HAKUNA ANAYEJUA UKWELI
 
KILA MTU ANA NJIA YAKE YA KUFANIKIWA KATIKA MAISHA ...
SIO KILA MTU ATAPITA NJIA ULOYOPITA WEWE
 
HABARI ZA KUSADIKIKA TU HIZI
HAKUNA ANAYEJUA UKWELI

KILA MTU ANA NJIA YAKE YA KUFANIKIWA KATIKA MAISHA ...
SIO KILA MTU ATAPITA NJIA ULOYOPITA WEWE
Jaribu kuwa na weledi kama kitu hujakielewa unauliza ama la unapotezea sio kila post lazima uchangie... Ila ukiamua kuchangia angalia unachochangia kinaleta mantiki
 
Jaribu kuwa na weledi kama kitu hujakielewa unauliza ama la unapotezea sio kila post lazima uchangie... Ila ukiamua kuchangia angalia unachochangia kinaleta mantiki
Kinaleta mantiki ndo mana nimechangia sababu naamini nimesema kitu cha kweli ...ni fictions stories tu...nimeujua ukweli baada ya kusikia uongo kwa miaka mingi...
the real people in the cult knows the secret sio za kusoma kwenye social networks
 
It was jus a piece of advice that can save you a lot of headaches you can take it or leave it
 
Back
Top Bottom