Hapana inabidi utibiwe hata tiba mbadala za mitishamba sio mbaya.... Shida ni pale unapochanganya na nguvu za gizaSasa mshana Ukiumwa ukaenda kwa dk napo ni kosa last kurekebisha mchoro?yaan inatakiwa ukae tu uumwe?
mnatishia watu sasa jwa mapicha picha kama haya. Duh!
Kkumbuka hapa ni Mungu (mungu) yupi unaemtolea kafara. AhsanteMkuu mshana jr kwetu sisi tunaofatilia Bible japo kidogo tunaambiwa kabla ya yesu kuja kuwafia wanadamu dhambi (Shukran na Maagano) kati ya wanadamu na Mungu yalikua yakifanywa kwa njia ya kafara, hususani ya kondoo sasa naomba kufahamu ukinzani upi ambao upo kati ya huduma za kafara za zama zile na kafara hii ya damu ya kishirikana!
Ahsante.
Kumbuka Kristo alikufa ili tukombolewe kwa damu yake kwahiyo kurudi kuchinja kwa ajili ya kafara/sadaka ni sawa na kwenda kinyume na maagizo ya MunguMkuu mshana jr kwetu sisi tunaofatilia Bible japo kidogo tunaambiwa kabla ya yesu kuja kuwafia wanadamu dhambi (Shukran na Maagano) kati ya wanadamu na Mungu yalikua yakifanywa kwa njia ya kafara, hususani ya kondoo sasa naomba kufahamu ukinzani upi ambao upo kati ya huduma za kafara za zama zile na kafara hii ya damu ya kishirikana!
Ahsante.
Mmmh hili halihitaji majibu ya haraka nipe muda nilifanyie kaziMshana Jr, kuna kijana mmoja rafiki na mdogo wangu tunaishi pamoja.
Sijui niseme tatzo au nn mana km kuna jambo baya linalotaka kutokea anapandisha, hapo nashindwa kuelewa km shetani au nn, mana anasisitiza msifanye kitu fulani au anasisitiza tusali sana, na haijawahi kumtokea toka amezaliwa hata wazaz wake wamenistuka sana ana 28 yrs now, ss mm nashindwa kuelewa km ni shetani au la na km shetani mbona anasisitiza sana tuende kanisani?
Mungu (MUNGU) ni JEHOVAH. mungu ni yule wapigia ramli kwa sangoma.Mungu au mungu?
tatizo hili ni kubwa kiasi gani huku kwetu Afrika v Ulaya/USA? Kuna uhusiano wowote kati ya elimu (contemporary education), dini za mapokeo na imani za maagano?Mungu aliye mkuu katika uumbaji.Mungu au mungu?
Huyo ni shetani tu na hii inatokea ikiwa MTU hajajizatiti kwa Mungu ndo maana yanakuwa na nguvu kuwatokea watu. Ila yakikemewa hayawezi furukuta.Mshana acha tu na wanaopingana Nazi wanapata changamoto kuuubwa sana. ! Kuna uncle wangu alienda German bariidi ikamzidia kule akarudishwa, ndugu zake wakasema ni kwa vile hajachinjiwa mbuzi, mbuzi ikachinjwa.. Trust me anaendaga tena na tena hata misimu ya baridi ila hajawahi rudishwa...! Hapa naona shetani anavyowaletea tricks![]()
![]()
![]()
Ni kweli mkuu... Mungu ni jubu la kila kitu.Huyo ni shetani tu na hii inatokea ikiwa MTU hajajizatiti kwa Mungu ndo maana yanakuwa na nguvu kuwatokea watu. Ila yakikemewa hayawezi furukuta.