Kiingereza cha Trump

Kiingereza cha Trump

Marekani wanaandika "honor", "specialized" "organized" ...etc. Mwingereza anaandika "honour", specialised". " organised".
Kuna kiingereza cha Marekani na Uingereza.
Mkuu najua hiyo. Trump alifanya mispelling ya neno
"Precedented" akaandika "Presidented"
Watu wakapiga kelele. English mbovu.
Magufuli anajua KIINGEREZA tena sana!
 
Sijakuelewa una maana gani? Kuchapia kwa Trump ni sawa na wewe unejua kiswahili ukakikoroga ndio maana halisi, lakini hauwezi ukasimama ukasema Trump hajui lugha mama yake!! Utaonekana huna akili.
 
baraka yao ilikuwa kukimbilia USA kwa sababu ya dezo, kwenda kusoma vyuo kwa kuwa na form IV au chini ya hapo, (ooops yaani majority) vipi Trump atawarudisha kwa nguvu wale ambao bado hawana ukazi?
Elimu shida ni Tanzania tu. We unaeona kama lazima ufike form six ndio uingie chuoni ndo pamekufanya ufikie hapo aulipofika, wenzetu mtoto wa darasa latano anakutengezea computer programs, we chuoni unatoka na PHD ya computer science website inakupiga chenga.
 
View attachment 462409

View attachment 462412

Chi-unajua tena angekuwa JPM ndio kakosea hapo chacha
patashika nguo kuchanika.

Tunaomba marejesho maana WTZ wengi hasa wachangiaji wa JF walio USA waliogopa umande, hivyo baraka yao ilikuwa kukimbilia USA kwa sababu ya dezo, kwenda kusoma vyuo kwa kuwa na form IV au chini ya hapo, (ooops yaani majority) vipi Trump atawarudisha kwa nguvu wale ambao bado hawana ukazi?

Mbona ni English nzuri tu, Clinton akiwa Rais alienda Ghana na moja ya hotuba zake alisema hivi.
"I'm deeply honored and even more honored to be the first American president ever to visit Ghana.
 
''WHAT A TWIT!
Donald Trump ‘may have broken the law’ by deleting misspelled Tweet – as Twitter admits millions of Obama’s followers ‘forced’ to follow new president.''
 
''He wrote: “I am honered [sic] to serve you, the great American People, as your 45th President of the United States!”

But Trump quickly deleted the tweet and replaced it with ‘honoured’ spelt correctly – meaning he may have violated The Presidential Records Act and the Freedom of Information Act.

Both laws require the commander in chief to preserve all records of federal government actions and communications, according to the New York Post.''
 
View attachment 462409

View attachment 462412

Chi-unajua tena angekuwa JPM ndio kakosea hapo chacha
patashika nguo kuchanika.

Tunaomba marejesho maana WTZ wengi hasa wachangiaji wa JF walio USA waliogopa umande, hivyo baraka yao ilikuwa kukimbilia USA kwa sababu ya dezo, kwenda kusoma vyuo kwa kuwa na form IV au chini ya hapo, (ooops yaani majority) vipi Trump atawarudisha kwa nguvu wale ambao bado hawana ukazi?

Mkubwa naona Arsenal leo tumeshinda game gumu sana, naona ulipotea kule jukwaani kumbe upo hapa.

Sasa kuhusu Donald Trump na matumizi ya maneno yake inabidi tuwe tunazingatia kwamba kutokana na asili yake ya Scotland (yaani mama yake anatoka Scotland) na safari zake za mara kwa mara kule Scotland, basi huenda kama binadamu anaweza kabisa kuchanganya maneno kama honor na honour.

"Honor" ni neno linalotumika kwenye kiingereza cha Marekani na "Honour" ni neno katika kiingereza cha Uingereza.

Hivyo matumizi sahihi ya maneno mbalimbali katika kiingereza cha Marekani na kile cha Uingereza kitategemea mawasiliano kati ya watumiaji wake.

Kwahio Marekani wanatumia "OR" na Uingereza wanaweka "U"

Hivyo basi, sidhani kama raisi Donald Trymp amekosea kutumia neno "honor" kama pia muingereza yoyote angetumia neno hilohilo kwa kuandika "honour", yote mawili yakiwa na maana moja.

Ila ni ukweli kwamba raisi Donald Trump nae yupo kwenye kurunzi akiangaliwa kila hatua anayokanyaga ili watu watafute makosa.
 
Ukishamuelewa mjinga hutapata tabu namna ya kuishi naye! Ukishawafahamu ukawa hutapata tatizo na comments zao!
 
Kuna watu humu ukikosea kidogo tu, yani anatoka hadi nje ya mada anakosoa yani utadhani yeye Tuki na Bakita ndugu zake, lakini ukija kumuona mweupe peee

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Richard kuna clips mbili hapo juu, ipo ambayo ni sahihi baada ya kurekebisha yenye utata ni hii hapa. Hii nimeileta humu kwa sababu ya watu kumkandia JPM, just to let them know its not a big deal. Tanzanians wengi bado sana, ile kasumba ya mzungu haitaisha upesi.

BTW refa wa leo kazingua sana pale uwanjani, I was just not happy at all, aliminya pen ya Mustafi ndani ya box lakini ya Coq akaitoa na hata ile ya mwisho ni baada ya kuona amelikoroga ilibidi alinywe tu.

upload_2017-1-21_21-17-27-png.462412
 
Ni kweli ni "typing error" na siyo grammatical error kama watu wanavyotaka kumvalisha hilo kosa.

Halafu pia, alifanya usahihi wa neno hilo na kulihamishia katika akaunti yake mpya ya tweeter ya POTUS handle kutoka ile ya zamani aliyoweka neno lenye kosa yaani ile ya realdonaldtrump

Kwahiyo hata ile sheria ya "Presidential Records Act" haijavunjwa na rekodi zote zinawekwa sawa.
 
Mkuu Richard unaongelea taasisi ya rais wa USA. Are you kidding me? Do not take these things as simple as that, what next?

BTW hacking ya DNC ilitokana na - a single misspelt e-mail kama ulifuatilia.
 
View attachment 462412

Corrected version

View attachment 462409

Chi-unajua tena angekuwa JPM ndio kakosea hapo chacha
patashika nguo kuchanika.

Tunaomba marejesho maana WTZ wengi hasa wachangiaji wa JF walio USA waliogopa umande, hivyo baraka yao ilikuwa kukimbilia USA kwa sababu ya dezo, kwenda kusoma vyuo kwa kuwa na form IV au chini ya hapo, (ooops yaani majority) vipi Trump atawarudisha kwa nguvu wale ambao bado hawana ukazi?

Kuna spelling error na grammatical errors....hii ya Trump ni spelling error and not grammatical error ambazo hufanywa sana na watu ambao lugha husika ni ya pili au ni ngeni.
 
Mkuu Richard unaongelea taasisi ya rais wa USA. Are you kidding me? Do not take these things as simple as that, what next?

BTW hacking ya DNC ilitokana na - a single misspelt e-mail kama ulifuatilia.

Hapana, namaanisha kwamba kwenda mbele au "going forward" hii akaunti yake ya sasa ya POTUS handle ambayo ni rasmi ambayo ndiyo imeanzia neno sahihi la "honored" itakuwa ikiingizwa maneno sahihi bila kuathiri ujumbe unaokusudiwa.
 
Kuna spelling error na grammatical errors....hii ya Trump ni spelling error and not grammatical error ambazo hufanywa sana na watu ambao lugha husika ni ya pili au ni ngeni.
An error is an error it does not matter.
 
Back
Top Bottom