Kiingereza cha Trump

Kiingereza cha Trump

Huyu jamaa si mara ya kwanza kufanya makosa katika spelling za Kingereza. Halafu utakuta sisi tunachekana mtu akikosea spellings.
Wakati wenye lugha INAWASHINDA!
Marekani wanaandika "honor", "specialized" "organized" ...etc. Mwingereza anaandika "honour", specialised". " organised".
Kuna kiingereza cha Marekani na Uingereza.
 
Safi sana limekuingia hili, ndio wale wale failures walioogopa umande, leo ati waje wawe werevu wa kuinoa Tanzania kwenye next generation kisa wanafanya kazi za hali ya chini marekani.
yuko mtz alikuwa mshauri wa Obama mambo ya IT (Indian Race)..... wako nawajua watz wako IT pentagon..... wako watz madaktari bingwa huko Texas ....... marekcha wa yunivesitiez .... wako watz Hollywood wanacheza movie na akina Jolie na Gere (mmoja wapo ni binti anatokea mkoa wa Tanga. Pia yuko kid wa kitz anachipukia-ready kwenye tv commercials nyingi), wako watz models wakubwa sana USA, makasisi wa kibongo huko, wataalamu wa oil n gas, Houston City mkurugenzi (manager kwa style yao) ni mtz, wapo NASA, Aircraft engineers (mwingine alipoteza viungo few years a go akiwa kazini), NBA, Soka etc... unajidharaurisha mkuu
 
Vp hao wamarekani wenzake waliomkosoa hapo kwenye page yake baada ya ku-tweet?

Ina maana nao hawajui tofauti ulioisema?
He is just white ... not an angel ... anaweza kufanya typing error kama mwanadamu yeyote...
 
Hii inaweza ikaeleweka ni Typing Error ila kwa mfano mtu anaandika...''ON BEHALF OF ME AND MY SELF''.....Hii nayo ni typing error?
Ni mbwembwe not official english..... me, myself and I ..... viingeleza vya drama but not uhalisia
 
Naanza kuichukia Jamii Forum Post Zenye Akili Fasta Mnafuta Post Za Kijinga Mnaacha
 
Ukishajua tofauti ya typing error na sentesi kuwa kichwa chini miguu juu.. Ndio utaweza tofauti kati ya usingiz na kifo.. Kwa akili yako hapo trump hiyo sentesi kakosea au typing error ndio imekosewa!?
 
nishasema mtahamisha mno magoli lakin huyu mr Potus hamtomuweza kamwe. hajakosea
0243990cb055a0223d9e1e22374e6791.jpg
 
View attachment 462409

View attachment 462412

Chi-unajua tena angekuwa JPM ndio kakosea hapo chacha
patashika nguo kuchanika.

Tunaomba marejesho maana WTZ wengi hasa wachangiaji wa JF walio USA waliogopa umande, hivyo baraka yao ilikuwa kukimbilia USA kwa sababu ya dezo, kwenda kusoma vyuo kwa kuwa na form IV au chini ya hapo, (ooops yaani majority) vipi Trump atawarudisha kwa nguvu wale ambao bado hawana ukazi?


hili jamaa haliwezi kubalini tu,
fe1ea5bf32af482d109012568fbe3cb3.jpg
 
Kiingereza kizuri kipo London na si Manchester,Southampton ,newcastle n.k kitu kingine ni kwanba kuandika ni tofauti na kuongea!
 
Kuna kiingereza cha UK, na kiingereza cha USA. Trump katumia lugha ya kiingereza cha pale alipozaliwa. Hivi wewe mtoa Post, unatumia kiingereza cha wapi? Umezaliwa wapi? Ukianza kujifunza ukiwa na miaka mingapi? Mwenzako Trump alianza kujifunza baada ya kuzaliwa tu. Yaani ndani ya sekunde chacha baada ya kuzaliwa, alianza kulia kwa kiingereza cha clinic aliyozaliwa.
 
Mtoa mada we ni ki.laza tu...mana hapo tatizo sio kingereza tatizo ni typo....typing error.
 
Sie waafrika tuna matatizo kweli.

Yani humu kuna wengine wanakubali kuwa Trump kakosea ila ni makosa ya uandishi tu halafu anaamisha kwa Magufuli kuwa hajui kabisa kiingereza.

Wengine wanasema Trump hajakosea ila kuna kiingereza cha uingereza na cha marekani,hivyo Trump ametumia kiingereza cha marekani.


Hivi mpaka hapa bado hamjagundua tu kama sie tuna matatizo?
 
Back
Top Bottom