Kiingereza cha Trump

Kiingereza cha Trump

Hapana, namaanisha kwamba kwenda mbele au "going forward" hii akaunti yake ya sasa ya POTUS handle ambayo ni rasmi ambayo ndiyo imeanzia neno sahihi la "honored" itakuwa ikiingizwa maneno sahihi bila kuathiri ujumbe unaokusudiwa.
Nakubaliana na wewe lakini maji yamekwisha mwagika, makosa ni makosa tu.
 
So what, even if he is a millionaire who cares, he does not feed me. He is just another laughingstock and his english is poor. Yes it is his mother tongue and he is not good at it. Even in Tanzania we have a lot of people who are poor in Kiswahili. Grow up! The world is laughing at him right now. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Trump kakosea neno na.Kurekebisha. Je Huyu anayesema jamaa hajui kiingereza ni wewe umempigia simu au kumwandikia kwamba Trump umekosea au ni yeye mwenyewe amerekebisha bila wewe kumtamstua??????
 
Mpumbavu utakuwa wewe, kwani lugha ikiwa mother tongue yako huwezi kukosea? Watanzania wengi bado sana lakini ndio wanajifanya eti wao ndio werevu kumbe wamekalia copy n paste. Your understanding left a lot to be desired.
 
Nakwambia unaonekana kituko, wewe siyo native speaker wa kiingereza unamcheka D.Trump ambaye ni native speaker wa Kiingereza? Akili yako inakutosha wewe kweli? D.Trump ni Bilionea ana miaka zaidi ya 70, amefanya Biashara na Dunia nzima, wewe umezaliwa zako Tunduma huko leo hii unakuja kukosoa Lugha yake? Tena yake ya mama?
Baba yake Trump alikuwa mhamiaji toka Ujerumani mama yake alikuwa mskochi,si wazungumzaji waziri wa kiingereza fasaha
 
Back
Top Bottom