Kiingereza cha Trump

Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
16,681
8,241
upload_2017-1-21_21-17-27.png

Corrected version

upload_2017-1-21_21-16-20.png

Chi-unajua tena angekuwa JPM ndio kakosea hapo chacha
patashika nguo kuchanika.

Tunaomba marejesho maana WTZ wengi hasa wachangiaji wa JF walio USA waliogopa umande, hivyo baraka yao ilikuwa kukimbilia USA kwa sababu ya dezo, kwenda kusoma vyuo kwa kuwa na form IV au chini ya hapo, (ooops yaani majority) vipi Trump atawarudisha kwa nguvu wale ambao bado hawana ukazi?

upload_2017-1-21_21-26-38.png

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
View attachment 462409

View attachment 462412

Chi-unajua tena angekuwa JPM ndio kakosea hapo chacha
patashika nguo kuchanika.

Tunaomba marejesho maana WTZ wengi hasa wachangiaji wa JF walio USA waliogopa umande, hivyo baraka yao ilikuwa kukimbilia USA kwa sababu ya dezo, kwenda kusoma vyuo kwa kuwa na form IV au chini ya hapo, (ooops yaani majority) vipi Trump atawarudisha kwa nguvu wale ambao bado hawana ukazi?

D.Trump ni native speaker wa Kiingereza, wewe siyo native speaker wa hiyo lugha, huo ujinga wako leta hapa hapa JF kwa wajinga wenzako lk nakushauri usipeleke nje ya Tanzania!
 
Safi sana limekuingia hili, ndio wale wale failures walioogopa umande, leo ati waje wawe werevu wa kuinoa Tanzania kwenye next generation kisa wanafanya kazi za hali ya chini marekani.
 
Nakwambia unaonekana kituko, wewe siyo native speaker wa kiingereza unamcheka D.Trump ambaye ni native speaker wa Kiingereza? Akili yako inakutosha wewe kweli? D.Trump ni Bilionea ana miaka zaidi ya 70, amefanya Biashara na Dunia nzima, wewe umezaliwa zako Tunduma huko leo hii unakuja kukosoa Lugha yake? Tena yake ya mama?
 
View attachment 462409

View attachment 462412

Chi-unajua tena angekuwa JPM ndio kakosea hapo chacha
patashika nguo kuchanika.

Tunaomba marejesho maana WTZ wengi hasa wachangiaji wa JF walio USA waliogopa umande, hivyo baraka yao ilikuwa kukimbilia USA kwa sababu ya dezo, kwenda kusoma vyuo kwa kuwa na form IV au chini ya hapo, (ooops yaani majority) vipi Trump atawarudisha kwa nguvu wale ambao bado hawana ukazi?

Huyu jamaa si mara ya kwanza kufanya makosa katika spelling za Kingereza. Halafu utakuta sisi tunachekana mtu akikosea spellings.
Wakati wenye lugha INAWASHINDA!
 
Nakwambia unaonekana kituko, wewe siyo native speaker wa kiingereza unamcheka D.Trump ambaye ni native speaker wa Kiingereza? Akili yako inakutosha wewe kweli? D.Trump ni Bilionea ana miaka zaidi ya 70, amefanya Biashara na Dunia nzima, wewe umezaliwa zako Tunduma huko leo hii unakuja kukosoa Lugha yake? Tena yake ya mama?
So what, even if he is a millionaire who cares, he does not feed me. He is just another laughingstock and his english is poor. Yes it is his mother tongue and he is not good at it. Even in Tanzania we have a lot of people who are poor in Kiswahili. Grow up! The world is laughing at him right now. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Huyu jamaa si mara ya kwanza kufanya makosa katika spelling za Kingereza. Halafu utakuta sisi tunachekana mtu akikosea spellings.
Wakati wenye lugha INAWASHINDA!
On the nose, that's my point.
 
Nakwambia unaonekana kituko, wewe siyo native speaker wa kiingereza unamcheka D.Trump ambaye ni native speaker wa Kiingereza? Akili yako inakutosha wewe kweli? D.Trump ni Bilionea ana miaka zaidi ya 70, amefanya Biashara na Dunia nzima, wewe umezaliwa zako Tunduma huko leo hii unakuja kukosoa Lugha yake? Tena yake ya mama?
Shida ya wabongo tunajifanya wajuzi wa mambo kumbe wapumbavu, mueleweshe vizuri kuna Englishs all over the Britain na kuna Dialect na accent za English hasa kwa native speakers kama D.J. Trump. Ukweli kuwa sizonje kitu hakipandi.
 
Mpumbavu utakuwa wewe, kwani lugha ikiwa mother tongue yako huwezi kukosea? Watanzania wengi bado sana lakini ndio wanajifanya eti wao ndio werevu kumbe wamekalia copy n paste. Your understanding left a lot to be desired.
 
D.Trump ni native speaker wa Kiingereza, wewe siyo native speaker wa hiyo lugha, huo ujinga wako leta hapa hapa JF kwa wajinga wenzako lk nakushauri usipeleke nje ya Tanzania!
Uko sahihi kabisa! Hiyo ni typing error ya Kawaida kabisa and anybody can do! Trump is elegant enough to make America great again.
By the way usingepata written speech kwa kumsikiliza D. Trump akiongea ungemhukumu kama ulivyo leta utumbo wako humu? Think twice!
 
Mpumbavu utakuwa wewe, kwani lugha ikiwa mother tongue yako huwezi kukosea? Watanzania wengi bado sana lakini ndio wanajifanya eti wao ndio werevu kumbe wamekalia copy n paste. Your understanding left a lot to be desired.
mkuu unajivunjia heshima tofautisha kati ya typing error na kutojua lugha hilo la typing error mbona kila mtu analo hata kama unamaster lugha vipi huwa linajitokeza huyo unayemtetea lugha haijui
 
Kutokujua lugha za watu ni taabu, mimi siijui, hivi kwa hapo kosa linalofanya aonekane hajui Kiingereza ni lipi, neno HONOR!
 
Back
Top Bottom