Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Amna kitu pale kama ameshindwa kufunga hadi mechi ya jana tutegemee nini?

Anawapa wakati mgumu mashabiki wa Uto kujaribu kumuelezea kuwa ni mzuri lakini kila mechi anayocheza anawa prove wrong

Ile mechi ya pre season walioshinda goli 9 haina utofauti na ya jana lakini mwana bado kashindwa kutumia fursa.
😂😂
 
Maradona mwamba kuliko mchezaji yoyote hata mesi au pele hawana ubavu alikosa penati .
Roberto baggio alikosa ,wajerumani walikosa , zidane alishakosa , bado kukosa kwa aziz ki hakupunguzi ubora wake, jana alifunga goli la ushindi bahasha na ukubwa wa motsepe vikageuza matokeo!
Mkuu kuwa na heshima kwa messi na Pele.
Kimafanikio na takwimu Maradona ni mdogo sana kwa Messi na Pele.
Mkuu kuwa na heshima bhanaaaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom