Kigwangalla usokolokwinyo huu atauacha lini?

Dk Kigwangalla ana sifa zote za mtu aitwaye HASIDI. Hasidi ana pande mbili:- upande ni mtu mwema na upande mwingine mnafiki. HK anacheza na vitu 2:- bosi wake na nyakati. Siyo wa kuamini tena huyu Ni kisokolokwinyo aliyeenda shule.

Akiwa waziri wa afya aliunga mkono wazo la jpm la watu kujifukiza. Akalipigia chapuo sana na akawa anarusha clip na picha akionesha anavyojifukiza. (Hapa HK alikuwa analinda ugali, hivyo akawa anajipendekeza kwa kiwango cha sgr kwa bosi wake).

Lkn siku chache tu baada ya kifo cha Magufuli alianza kupinga kujifukiza. (Hapa alishaona Magufuli hana ishu tena. Wa nini? Hatomsaidia kwa lolote. Nyakati za Magufuli kuwa bosi zimepita).

Na sasa ameanza kujipendekeza kwa mama Samia (Soma maoni yake hapa chini juu ya katiba mpya). Nadhani anatafuta uwaziri. Je, anaaminika tena hasidi huyu?? Anaaminika tena kisokolokwinyo huyu?

"Mabadiliko ya katiba yanaweza kusubiri kidogo"? kumbe na yeye anayataka mabadiliko?
 
Achana na mavi japo tunapoyapangusa tuna kunja uso wakati mkono tumepeleka wenyewe na tunapokanyaga tunachechemea kuzidi kuchomwa na mwiba!
 
Back
Top Bottom