Kigwangalla azidi kumkalia kooni Dr. Mwaka

Kigwangalla azidi kumkalia kooni Dr. Mwaka

Dr. Mwaka ni miongoni mwa maelfu ya watu wa aina yake, kudeal na yeye tu huku akiwaacha maelfu inaleta dhana mbaya sana.
 
Nipe takwimu ni kina mama wangapi waliofanikiwa na ni wangapi walipata damage? Mbona babu wa samunge maarufu kikombe cha babu alisababisha vifo vingi tu lakini kimya? Tuache siasa nyepesi tufanye kazi.
Wewe mpumb@v nyie ndy Mliokuwa mnanufaika na matibabu feki ya dr magumashi mwaka
 
Hongera Dr Kigwangallah kwa kuamua kuwashugulikia hawa matapeli wa kimataifa, hii itasaidia sana matapeli wengine kuogopa kudhalilisha wanawake hadharani
 
Sio bure kuna personal issues hapa

Kuwe na personal issues au lah...the bottom line ni kwamba Mwaka ni tapeli and somebody sensible has to STOP him and fortunate that person appeared to be Kigwangala.

Waathirika wakubwa wa utapeli wake ni mama zetu, dada zetu na bibi zetu na shangazi zetu and on top of all, wake zetu.

Kama utapeli huu wa Mwaka haujakukuta huwezi kuelewa lolote.
 
Kwa hiyo kwakuwa babu alisababisha na huyu mwaka nae aachwe asababishe?uswahili unawasumbua sana, yani mtu asipinge kitu chenye mantiki mniita wivy
Mkuu wakati mwingine sisi Watanzania ni watu wa ajabu sana! Wakina mama wengi watakuwa wame athilika kiafya kutokana na utapeli wa jamaa huyu,sijui nani alikuwa anaidhinisha apewe AIRTIME ya kuwazuga wakina mama.
 
Wewe mpumb@v nyie ndy Mliokuwa mnanufaika na matibabu feki ya dr magumashi mwaka

Kwa bahati mbaya sana sijawahi kumtukana mtu, nimelelewa katika misingi ya maadili, utu, uvumilivu na unyenyekevu! Jenga hoja yako utaheshimika ndugu!
 
Dr. Mwaka ni miongoni mwa maelfu ya watu wa aina yake, kudeal na yeye tu huku akiwaacha maelfu inaleta dhana mbaya sana.

Hata hujui kumbe Kigwangallah alianza vipi kudeal na Mwaka...ni kupitia malalamiko ya watu kwa njia mbalimbali...sasa ikiwa kuna wengine unawajua basi usitegemee miujiza ifanyike ili na sisi tuwajue...fanya uwaweke hapa ili uwe sehemu ya raia wema kwa kutoa taarifa zitakazo fanikisha kukamatwa kwa wahalifu hao.
 
Madai kuhusu Dr mwaka bado hayajulikani !
Mimi nilishauli serikali isiwe inawakatisha tamaa watu, kinachotakiwa ni kuwapa maelekezo watu nini wafanye na kipi wasifanye ktk utoaji Huduma zao.
Ila viongozi wasifanye maamuzi bila busara watu wanatafsri kama kukomoana inakatisha tamaa watu.
Not: hii huduma ingetolewa na mchina au mzungu isinge kosolewa
Maana najaribu kukumbuka yule Doctor mzawa wa moyo aliletewa zengwe mpaka akafa kwa msongo wa mawazo!
Tunahitaji kufikiri zaidi kuliko kushabikia bila kufikiri
 
Kwa bahati mbaya sana sijawahi kumtukana mtu, nimelelewa katika misingi ya maadili, utu, uvumilivu na unyenyekevu! Jenga hoja yako utaheshimika ndugu!

Ajenge hoja kwa mtu mpumbavu kama wewe sasa utaelewa nini...wewe ni wa kupuuzwa tu. Hata sijui unafanya nini humu kwa ma-GT. Nenda kwa wajinga wenzako kwenye platforms zingine huko. Humu wanatakiwa ma-GT tu.
 
Madai kuhusu Dr mwaka bado hayajulikani !
Mimi nilishauli serikali isiwe inawakatisha tamaa watu, kinachotakiwa ni kuwapa maelekezo watu nini wafanye na kipi wasifanye ktk utoaji Huduma zao.
Ila viongozi wasifanye maamuzi bila busara watu wanatafsri kama kukomoana inakatisha tamaa watu.
Not: hii huduma ingetolewa na mchina au mzungu isinge kosolewa
Maana najaribu kukumbuka yule Doctor mzawa wa moyo aliletewa zengwe mpaka akafa kwa msongo wa mawazo!
Tunahitaji kufikiri zaidi kuliko kushabikia bila kufikiri

Labda ni wewe peke yako ndio hujui...sijui upo dunia gani! Uwe unafatilia vyombo vya habari kilaza wewe.
 
Kuna wakati mwingne si kila kitu lazma uwe shabiki tuache majukumu yatimizwe na wenye majukumu kwa nafasi yako nawe timiza majuku
Dr. Hamis anatimiza majukumu yake isitoshe ni mbobezi wa mambo ya afya tumwache atimize majukumu yake Hongera Waziri ila tenda haki na toa ukweli
 
Hivi hakuna mengine ya kujadili humu? Dr Mwaka ni ktk nchi hii ajadiliwe? Alikkwepa kodi? Ni chuki tu!

Nyie ndio wale watu msimpinge uzito wa jambo, Hivi unajua kina mama wangapi wanaenda kwa anaejiita dokta mwaka na ni madhara kiasi gani kesha sababisha????
 
Wewe popoma Proud-Tanzanian
Mbona unatokwa povu ovyohovyo, au na wewe mkeo kakadhia kua Dr Guli jj.mwaka kaanzisha kipimo cha kuwavua nguo Wanawake kisha kusingizia kuwa anawapima Ugumba , UTI na magonjwa ya zinaa

Mwabie mkeo asiende kama Hahiitaji huduma hiyo..
 
Nipe takwimu ni kina mama wangapi waliofanikiwa na ni wangapi walipata damage? Mbona babu wa samunge maarufu kikombe cha babu alisababisha vifo vingi tu lakini kimya? Tuache siasa nyepesi tufanye kazi.
hoja hapa si eti mwingine alifanya na hakuchukuliwa hatua, Hapa ni Kazi tu maana yake kila mtanzania apate kipato kutokana na KAZI yake halali - ujanja ujanja sasa unafikia tamati.
 
Hawezi kung'ang'na hivi pengine kuna jambo kati yao, ana meno sasa hiv hana budi kulipa kisasi mapema na baadae aanze kujenga nchi
Nakubaliana nawe, hapa lazima kutakuwa na lingine nyuma ya pazia! Labda mpaka ithibitike kuwa Mwaka hana TIN number na halipi kodi.

Hata hujui kumbe Kigwangallah alianza vipi kudeal na Mwaka...ni kupitia malalamiko ya watu kwa njia mbalimbali...sasa ikiwa kuna wengine unawajua basi usitegemee miujiza ifanyike ili na sisi tuwajue...fanya uwaweke hapa ili uwe sehemu ya raia wema kwa kutoa taarifa zitakazo fanikisha kukamatwa kwa wahalifu hao.

Mimi sitetei anachofanya Mwaka kama kipo nje ya maadili hoja yangu ni kuwa kuna maelfu ya watu wa aina yake yeye kama waziri badala ya kudeal na MTU mmoja akatoa maelekezo kuhusu Hawa jamaa wa tiba mbadala. Hivi babu wa loliondo na mwaka nani alisababisha madhara makubwa kwa taifa, na Si yupo? vipi kuhusu maelfu ya manabii na wachungaji wanaojitapa kuwa wanatibu magonjwa Fulani? Sidunishi jitihada za mh. Bali aende mbali zaidi ili umma usiishie kuona tatizo ni mwaka tu Bali tatizo ni kubwa zaidi, aadress tatizo sio MTU.
 
Back
Top Bottom