Kigwangalla azidi kumkalia kooni Dr. Mwaka

Joined
Nov 20, 2015
Posts
90
Reaction score
16
Kigwangala amesema atatoa taarifa wakati wowote kuhusu Dr Mwaka baada ya kuita jopo la matabibu kumjadili Mwaka kuanzia Leo.

Source: tuongee magazeti RFA
 
Hivi hakuna mengine ya kujadili humu? Dr Mwaka ni ktk nchi hii ajadiliwe? Alikkwepa kodi? Ni chuki tu!
 
Hii nchi bana, ni vituko vituko vituko! Dr. Kigwangala nakushauri kama unapenda ujulikane zaidi kwenye unaibu Waziri wako, nenda katibu wagonjwa walau Mara moja kwa wiki katika hospitali yetu ya Muhimbili, hili litamfanya Rais wetu Dr Magufuli akuamini zaidi. Mwaka mwaka mwaka why? Huu ni mwaka 2015 tufanye kazi tupunguze porojo za media
 
Hii nchi bana, ni vituko vituko vituko! Dr. Kigwangala nakushauri kama unapenda ujulikane zaidi kwenye unaibu Waziri wako, nenda katibu wagonjwa walau Mara moja kwa wiki katika hospitali yetu ya Muhimbili, hili titamfanya Rais wetu Dr Magufuli akuamini zaidi. Mwaka mwaka mwaka why? Huu ni mwaka 2015 tufanye kazi tupunguze porojo za media
Wewe unajua ni damage kiasi gani watu aina ya Mwaka wamefanya kwa kina mama wa Tanzania?
 
Hawezi kung'ang'na hivi pengine kuna jambo kati yao, ana meno sasa hiv hana budi kulipa kisasi mapema na baadae aanze kujenga nchi
 
Nipe takwimu ni kina mama wangapi waliofanikiwa na ni wangapi walipata damage? Mbona babu wa samunge maarufu kikombe cha babu alisababisha vifo vingi tu lakini kimya? Tuache siasa nyepesi tufanye kazi.

Aisee!!!&
 
dr mwaka ni genius wamuache tu kajitangaza mpaka TBC leo ndio wanaleta porojo huyu kigwangalah bure kabisa
 
Wewe unajua ni damage kiasi gani watu aina ya Mwaka wamefanya kwa kina mama wa Tanzania?

Sidhani kama itazidi ile ya Muhimbili ambapo mtu aliyepaswa kufanyiwa upasuaji wa kichwa akapasuliwa mguu na wa mguu akafumuliwa kuchwa,no one is perfect. Kigwangala ni mpenda sifa kama Makonda,sioni leadership kabisa kule....he is just a waste of space.
 
ashughulikie changamoto za afya tanzania, hao wanaotulisha mapapai watakuwa hawana kazi hosp zikiboreka aachane nao wako wengi sana
 
Hii nchi bana, ni vituko vituko vituko! Dr. Kigwangala nakushauri kama unapenda ujulikane zaidi kwenye unaibu Waziri wako, nenda katibu wagonjwa walau Mara moja kwa wiki katika hospitali yetu ya Muhimbili, hili litamfanya Rais wetu Dr Magufuli akuamini zaidi. Mwaka mwaka mwaka why? Huu ni mwaka 2015 tufanye kazi tupunguze porojo za media

Ume nikumbusha Waziri Prof Sarungi akiwa waziri aliingia theatre kupasua na kutibu kila ajali zinapotokea....hakua anafanya hizi sarakasi za kijinga jinga .....akionesha kwa vitendo kuwa yeye ni waziri lakini pia ni daktari.

Sasa huyu Kagwangala naye sarakasi hazisaidii. Hata kuvamia hospitali na kutoa maagizo hayasaaidii maagizo yanaendana na maslahi mazuri ya madactari , uwepo wa vifaaa na madawa . Kuzunguka tuu huku hata gloves hakuna hakusaidiii.
 
Nipe takwimu ni kina mama wangapi waliofanikiwa na ni wangapi walipata damage? Mbona babu wa samunge maarufu kikombe cha babu alisababisha vifo vingi tu lakini kimya? Tuache siasa nyepesi tufanye kazi.

Upewe takwimu gani wakati hata mtoto wa darasa la kwanza anafahamu athari za ku-pactice medicine bila credentials? Au mpaka mwana familia yako aathrike ndiyo utajua madhara ya watu kama Mwaka? This is not a game of cards, it's about life and death.
 
Dr Kigwangala, Safi sana kwa kazi nzuri unayofanya.

Nakuomba pia kwa kuwa wewe ni Waziri wa Afya kuna hii kitu mtaani MAMA LISHE wanapika chakula huku wakifunikia mifuko ya Plastiki ili kiive haraka, Hii ni hatari sana kwa afya. Naomba Mheshimiwa Ofisi yako itoe elimu na kuzuia jambo hili kwa kuwa linaweza kusababisha kansa huko mbeleni.

Kitu kingine Mheshimiwa, haya maji kwenye chupa za Plastic, ni hatari sana pale chupa hizo zinapopigwa na jua na zile plastic chemicals kudisolve ndani ya maji hayo, naomba pia ofisi yako ifanye kitu katika kuweka viwango vya uzalishaji, usambazaji na utunzwaji wa maji ya aina hii
 
Nipe takwimu ni kina mama wangapi waliofanikiwa na ni wangapi walipata damage? Mbona babu wa samunge maarufu kikombe cha babu alisababisha vifo vingi tu lakini kimya? Tuache siasa nyepesi tufanye kazi.

Kwa hiyo umegundua huyu naye ni tapeli tu kama babu wa loliondo
 
Hivi hakuna mengine ya kujadili humu? Dr Mwaka ni ktk nchi hii ajadiliwe? Alikkwepa kodi? Ni chuki tu!

Kuna mawili hapa , la kwanza ni Fitna za kibiashara toka Kwa Wamiliki wengine wa clinic za Dawa Asili , pili kinachomtafuna sasa ni ile Tabia aliyokuwa ameanza ya kuwavua nguo Wanawake kisha kusingizia kuwa anawapima Ugumba , UTI na magonjwa ya zinaa , kibaya zaidi alimchungulia Mke wa kigwangala pindi alipoenda kutibiwa pale.
 
Ume nikumbusha Waziri Prof Sarungi akiwa waziri aliingia theatre kupasua na kutibu kila ajali zinapotokea....hakua anafanya hizi sarakasi za kijinga jinga .....akionesha kwa vitendo kuwa yeye ni waziri lakini pia ni daktari.

Sasa huyu Kagwangala naye sarakasi hazisaidii. Hata kuvamia hospitali na kutoa maagizo hayasaaidii maagizo yanaendana na maslahi mazuri ya madactari , uwepo wa vifaaa na madawa . Kuzunguka tuu huku hata gloves hakuna hakusaidiii.
Kigwangala ana hasira na dr mwaka baada ya Mke wake kuchunguliwa nyeti pindi alipoenda kutibiwa kwenye hiyo clinic
 
Kuna mawili hapa , la kwanza ni Fitna za kibiashara toka Kwa Wamiliki wengine wa clinic za Dawa Asili , pili kinachomtafuna sasa ni ile Tabia aliyokuwa ameanza ya kuwavua nguo Wanawake kisha kusingizia kuwa anawapima Ugumba , UTI na magonjwa ya zinaa , kibaya zaidi alimchungulia Mke wa kigwangala pindi alipoenda kutibiwa pale.
Kwani Mwaka alisomea wapi masuala ya u gyno? Kama alikuwa anawadhalilisha akina mama kiasi hicho basi Serikali ina wajibu wa kumtupa kwenye Gereza la Segerea - hafai kabisa kiumbe huyu.
 
Back
Top Bottom