Kigwangalla azidi kumkalia kooni Dr. Mwaka

Kigwangalla azidi kumkalia kooni Dr. Mwaka

Tumeamua kwenda kwa Dr.Mwaka kwasababu Hospital zenu serikali fingisu figisu
 
Wanaofanya shuhuli kama ya Mwaka wako wengi,waziri awashuhulike wote kuhakikisha wanafuata sherua
 
Huyo mwaka ni dr muongo sana, ametapeli wengi sana, na anajijua
 
Kigwangalla unataka kutumia nafasi ya unaibu waziri kukomoa wale wote uliokuwa na mabifu nao.? Maana mamlaka halali zilizomruhusu Dr. Mwaka kufanya kazi zake zipo. Na Dr. Mwaka amekuwa akijitangaza kwa miaka mingi. Iweje Leo ndiyo ageuke nongwa? Wewe kitaaluma ni daktari, ulishindwa kutumia nafasi yako kama mbunge kwa miaka 5 iliyopita kubaini ukanjanja wa Dr. Mwaka na kuushughulikia? Isijekuwa kakuzidi kete kwa mchepuko sasa unamkomoa.....!!?
 
Wewe unajua ni damage kiasi gani watu aina ya Mwaka wamefanya kwa kina mama wa Tanzania?

Miaka yote mitano amekuwa mbunge kwa nini hakuishauri serikali kuhusu hawa akina Dr. mwaka? Hizi sasa ni fitina, ukute Dr alimgongea mkewe, kwa nini awe name hasira hivyo na huyu jamaa? Hajui kwamba hata Ngonyani anaitwa Prof.? Huu sasa ni zaidi ya uzumbukuku!
 
dr mwaka ni genius wamuache tu kajitangaza mpaka TBC leo ndio wanaleta porojo huyu kigwangalah bure kabisa
Masilahi yamegongana, dr. Mwajma na kighangala wote ni madk.wa miti shamba,anaona mwenzie amepata umaalufu mkubwa kwa ajili ya kutangaza tiba yake,ndo maana hata kigwangala amekulupuka na kufunga mageti pale wizarani ili vyombo vya habali vimtangaze,lakini vimempotezea,utasikia atazusha jingine la kuvua hata suti atibu wagonjwa balabalani,tutaona mengi.
 
Nipe takwimu ni kina mama wangapi waliofanikiwa na ni wangapi walipata damage? Mbona babu wa samunge maarufu kikombe cha babu alisababisha vifo vingi tu lakini kimya? Tuache siasa nyepesi tufanye kazi.

Hivi watu tunafikirije? kwa hiyokama babu wa samunge alisababishi vifi hiyo ndio inampa haki dr Mwaka kuachiwa aendelee na makosa yake? Mi ningeona fikra imekaa vizuri ungeshauri itambuliwe pia damage aliyosababisha babu wa samunge nae achukuliwe hatuaya kujiita dokta, kutoa dawa isiyponya, kuwapa watu matumaini fekina kujitangaza ambavyo ni kinyume cha maadili ya udakitari. Linapokuja suala la ukiukaji wa sheria na taratibu tupunguze mihemuko na povu, waliokosea wachukuliwe hatua na kama tunawafahamu wengine tutoe ripoti na tuache kutetea upumbavu
 
Kama kweli kuna watu au mtu aliye dhalalishwa kijinsia na huyu daktari basi inabidi hatua za kisheria zichukuliwe
 
dr mwaka ni bora. kwanini yle babu wa loliondo hawakwenda kumpiga xtop lkn leo kigwangala anata kuwa famoux kwa fitina zake zidi ya dr mwaka ...pia matokeo mangapi na mazur mangapi wakina mama wameyaona toka kwa dr mwaka uo ni unafiki
 
Kigwangwala bana Babu Loliondo aliwalisha viniesi mbona na wakulu walikunywa bila kisema na mpaka leo kimya.

Huyu kashtukizwa uwaziri kaja na visasi.
 
Waziri achukue hatua kali kwa hawa watu matapeli wanaodanganya matabibu tena kwa kujiita madaktari wakati taaluma hawana wanaochukia serikali hii ni wale waliozoea maisha ya ujanja ujanja
 
Siyo chuki, kwani ni tapeli kulipa kodi siyo maana unachofanya ni halali. Huyu DK. Mwaka ni "Pervet" kwani sio mtahalamu wa magongwa ya uzazi. Angekuwa CHINA angenyongwa huyo.
 
Back
Top Bottom