Kigwangalla azidi kumkalia kooni Dr. Mwaka

Kigwangalla azidi kumkalia kooni Dr. Mwaka

Nipe takwimu ni kina mama wangapi waliofanikiwa na ni wangapi walipata damage? Mbona babu wa samunge maarufu kikombe cha babu alisababisha vifo vingi tu lakini kimya? Tuache siasa nyepesi tufanye kazi.

Ungepeleka mkeo pale wala usingeweza kutetea suala hili!
 
It seems huyu jamaa Kigwa alikuwa na husda na huyu jamaa kwa muda mrefu,tatizo lilikuwa authority hana.Nchi hii ina matatizo mengi ya Afya sio Dr Mwaka.Tangu aingie yeye na mwaka tu.
 
ashughulikie changamoto za afya tanzania, hao wanaotulisha mapapai watakuwa hawana kazi hosp zikiboreka aachane nao wako wengi sana

Ashughulikie Changamoto Za Afya Tanzania Kwani Hiki Alichoanzia Kukifanya Kwa Dokta Mwaka Ni Nini? Hivi Watu Wengine Mnapokuja Humu Jamvini Na Kuchangia Huwa Mnashughulisha Vizuri AKILI Zenu Ili Pengine Msionekane KITUKO Kama Siyo MAPOPOMA MLIOTUKUKA Mbele Ya Majiniasi Wacheche Tuliopo?
 
Nipe takwimu ni kina mama wangapi waliofanikiwa na ni wangapi walipata damage? Mbona babu wa samunge maarufu kikombe cha babu alisababisha vifo vingi tu lakini kimya? Tuache siasa nyepesi tufanye kazi.

Kwa hiyo kwakuwa babu alisababisha na huyu mwaka nae aachwe asababishe?uswahili unawasumbua sana, yani mtu asipinge kitu chenye mantiki mniita wivy
 
Nchi ya ajabu. Kila anayefurukuta balaa. Mnakumbuka Dr Bingwa wa magonjwa ya moyo Dr Masau alitiliwa kauzibe na Waziri mmoja mwanamke mpaka akajifia kwa frustrations. Sasa je, kama Dr mwaka hafai na hawa akina Dr Ndodi je? Dr.Jumanne je? Na huyu wa Mwanza kule Nyegezi je? Hawa wajiitao Sanitarium je? Kigwangala acha uonevu!
 
It seems huyu jamaa Kigwa alikuwa na husda na huyu jamaa kwa muda mrefu,tatizo lilikuwa authority hana.Nchi hii ina matatizo mengi ya Afya sio Dr Mwaka.Tangu aingie yeye na mwaka tu.

Huyu mganga wa kienyeji mwaka ni moja kati ya changamoto na jipu kwenye sekta ya afya, anachofanya yeye ni kukusanya madawa ya kienyeji huko kwenye nchi za watu kuja kuwatapeli wanawake

Embu jiulize ni mtaalamu gani wa afya anaueahauri wanawake waweke kokwa ya embe na majani ya mgagani kwenye uke ili uwe mtamu?ana maadili kweli huyu?huyu hakawii kuwa ameshasababishia wanawake wengi Kansa za vizazi sema tuu bado halijalipuka

Je ana maabara ya kutengenezea hizo dawa na kuhakikisha zipo kwenye standard kabla ya kuwapa wagonjwa?
 
Ashughulikie Changamoto Za Afya Tanzania Kwani Hiki Alichoanzia Kukifanya Kwa Dokta Mwaka Ni Nini? Hivi Watu Wengine Mnapokuja Humu Jamvini Na Kuchangia Huwa Mnashughulisha Vizuri AKILI Zenu Ili Pengine Msionekane KITUKO Kama Siyo MAPOPOMA MLIOTUKUKA Mbele Ya Majiniasi Wacheche Tuliopo?

Unamaanisha akimfungia huyo mwaka ndio kaboresha afya.

Usikute hata wewe ukawa popoma,
Wagonjwa wengi wanaokwenda kwa hawa jamaa in baada ya kuzunguka hospitari za uma na kukosa msaada

Ndio maana anashauriwa kuimarisha Huduma za afya kwenye hospitari zake kuliko kukimbizana na hawa wanaolisha watu vitunguu swaumu.
 
Tired now with Dr Mwaka, Dr Mwaka, Mwaka...Alaaaa
Kingwangwalla nenda kwenye mahospitali ya wilaya na mikoani huko, ma x ray machines kibao hayafanyi kazi huko..watu kibao wanapoteza maisha kutokana na kukosa vifaa tiba,madawa na huduma mbovu kutoka kwa watabibu sio kung'ang'ana na ishu moja tu...alaaaa!!
 
Mkuu huyu Waziri kijana Lazma atakua anakinyongo,
Inawezakua mkewe bado anawaza na kuiota HUDUMA aliyopatiwa na Dr nguli wa tiba mbadala..

Wanaolalamika kua Dr ameanza kuwavua nguo Wanawake kisha kusingizia kuwa anawapima Ugumba , UTI na magonjwa ya zinaa wasiwarusu wake zaqo waende Huko..
 
Dr Kigwangala, Safi sana kwa kazi nzuri unayofanya.

Nakuomba pia kwa kuwa wewe ni Waziri wa Afya kuna hii kitu mtaani MAMA LISHE wanapika chakula huku wakifunikia mifuko ya Plastiki ili kiive haraka, Hii ni hatari sana kwa afya. Naomba Mheshimiwa Ofisi yako itoe elimu na kuzuia jambo hili kwa kuwa linaweza kusababisha kansa huko mbeleni.

Kitu kingine Mheshimiwa, haya maji kwenye chupa za Plastic, ni hatari sana pale chupa hizo zinapopigwa na jua na zile plastic chemicals kudisolve ndani ya maji hayo, naomba pia ofisi yako ifanye kitu katika kuweka viwango vya uzalishaji, usambazaji na utunzwaji wa maji ya aina hii
Ni kweli mkuu,additives zinazo ongezwa wakati wa utengenezaji mifuko na chupa za plastic ni hatari sana kwa afya ya binadamu vina sababisha cancer - kuna umuhimu Serikali yetu kutoa muhongozo kuhusu suala hili.
 
Serikali vs mwaka ni usingizi mzito wa nchi hii kina mwaka wako wengi mpaka madispensary na maduka ya madawa sasa kwa huyo wa bungoni kuna chuki na utajiri wake unaoanza kuja juu
 
Sidhani kama itazidi ile ya Muhimbili ambapo mtu aliyepaswa kufanyiwa upasuaji wa kichwa akapasuliwa mguu na wa mguu akafumuliwa kuchwa,no one is perfect. Kigwangala ni mpenda sifa kama Makonda,sioni leadership kabisa kule....he is just a waste of space.

True, word said.
 
Nipe takwimu ni kina mama wangapi waliofanikiwa na ni wangapi walipata damage? Mbona babu wa samunge maarufu kikombe cha babu alisababisha vifo vingi tu lakini kimya? Tuache siasa nyepesi tufanye kazi.

Kwa vile babu aliachiwa basi wote waendelee kuachiwa? What a weak argument!!!! Mwaka ni tapeli na mwizi mkubwa sana!! Anawaibia wakina mama wenye matatizo ya uzazi!!

Mtu gani anakuwa na uwezo wa kutibu magonjwa yote?? Angekuwa na uwezo huo si angekuwa amechukuliwa na wizara ya afya?

Mbona mke wake alimpeleka afrika ya kusini kutibiwa? Kwa nini hakumtibu mwenyewe???

Acheni kuwa suport matapeli bhana!!!
 
huu sasa wivu.

unapopewa nafasi kama hiyo wiki nzima unadeal na mtu mmoja sioni kama ni sawa.

angefsnya km bosi wake atoe tamko la watu kuacha hiyo practice au watafute vibali ndani ya muda fulani.

maana tatizo sio dr mwaka. yawezekana dr mwaka wako maelfu nchini.

we need nationnal move not personal dealing.
 
Dr Kigwangala, Safi sana kwa kazi nzuri unayofanya.

Nakuomba pia kwa kuwa wewe ni Waziri wa Afya kuna hii kitu mtaani MAMA LISHE wanapika chakula huku wakifunikia mifuko ya Plastiki ili kiive haraka, Hii ni hatari sana kwa afya. Naomba Mheshimiwa Ofisi yako itoe elimu na kuzuia jambo hili kwa kuwa linaweza kusababisha kansa huko mbeleni.

Kitu kingine Mheshimiwa, haya maji kwenye chupa za Plastic, ni hatari sana pale chupa hizo zinapopigwa na jua na zile plastic chemicals kudisolve ndani ya maji hayo, naomba pia ofisi yako ifanye kitu katika kuweka viwango vya uzalishaji, usambazaji na utunzwaji wa maji ya aina hii

Watu wengi wangejua haya wangeacha kabisa matumizi ya plastic, plastic pia ni kichocheo kikubwa sana kwa fibroids na maradhi mengine mengi hii elimu haipo kabisa mitaani.

Sijui sheria ya kuzuia matumizi ya mifuko plastic iliishia wapi, mbona Zanzibar wameweza kuitekeleza?
 
Kigwangala anadhalilisha taaluma ya utabibu.Ina maana katika matatizo yote alioyaona kwenye sekta ya afya,kubwa kuliko yote ni Dr Mwaka?,,,hadi naanza kupata wasi wasi huenda ni visasi

Kuna herbalists wangapi Tanzania hii,wanaojitangaza kila siku na anawajua lakini huku kukomaa na Dr Mwaka inatupa shaka na weledi wa huyu bwana

Hospitali za mikoani na wilayani huko hali ni mbaya,watumishi wamepoteza morale wa kufanya kazi,mazingira duni,mishahara duni,haya yote hajayaona?

Hii issue ya Mwaka isingetakiwa hata kupewa airtime kiasi hiki,madaktari wetu na wagonjwa wao wana changamoto nyingi sana zilizotakiwa kupewa kipaumbele
 
Hyu muheshimiwa vipi
Yaani badala ya kufanya Kazi anakimbizana na waganga Wa kienyeji?
 
Kwa hiyo kwakuwa babu alisababisha na huyu mwaka nae aachwe asababishe?uswahili unawasumbua sana, yani mtu asipinge kitu chenye mantiki mniita wivy

Nimetoa ushauri wangu Dr Kigwangala aende akatibu wagonjwa mara moja kwa wiki hii itakuwa na maana sana kuliko porojo, kama Mwaka anamakosa ziko taratibu za kisheria zifuatwe afikwishe mahakamani. Siyo kukicha mala ooh naibu Waziri amkalia kooni Mwaka tufanye kazi basi!
 
Back
Top Bottom