kingwangwala kwa hili atashusha heshima yake aliyojijenge kwa wananchi. Mwaka anafanya shughuli zake kihalali kabisa, kodi analipa ametoa anira kwa watanzania wengu kutokana na clinic yake, si mchoyo kidogo anachopata anawagawia vyombo vya habari kupitia matangazo.
Kisa amejiita dokta waganga wa kienyeji wengi wanajita madokta mbona ashughhuliki nao ndio maana watu wanasema waafrika hatupendani kazi kubwa ni kurudishana nyuma.
Hakuna mgonjwa anayelazimishwa kwenda j.j mwaka. Umaahiri wake wa kutibu magonjwa wanayoshindwa madaktari wetu bingwa mahospitalini ndiko kunakompa credit lkn pia umahiri wa kuelezea tatizo na ufumbuzi wake unawaacha mbali madaktari weetu.
Ningemwona wa maana mheshimiwaa waziri kama angehangaika na madaktari feki wanaotibu kwenye hosoitali za serikali pia wale walifuji vyeti ili tuwe na watumishi wenye sifa zao badala ya kutumia vyeti vya wengine huku ukionekana una elimj ya juu kumbe hata dokta mwaka amekuzidi.