Jiuzulu ndo tujue nchi imejaa dhulma!we unang'ang'ania ujinga,achia ngazi kama we mwanaume unayependa kusimama mwenyewe usiyependa huo uhuni wa ccm!kama hutaki basi wajitafutia sifa tu tena za kijinga!
Hamisi Kigwangalla ameandika haya yafuatayo katika ukurasa wake wa facebook.. Hebu pitieni na nyie muone wenyewe..
"Kwa hakika dhulma imetamalaki katika nchi hii!
Ukandamizaji umetamalaki katika nchi
hii! Nimekamatwa na polisi nikitetea
dhulma na ukandamizaji..."
Kama anatetea dhuluma na ukandamizaji kwa nini asikamatwe na polisi?Hamisi Kigwangalla ameandika haya yafuatayo katika ukurasa wake wa facebook.. Hebu pitieni na nyie muone wenyewe..
"Kwa hakika dhulma imetamalaki katika nchi hii!
Ukandamizaji umetamalaki katika nchi
hii! Nimekamatwa na polisi nikitetea
dhulma na ukandamizaji..."
Hadi akamatwe yeye ndo anajua kwamba nchi hii imejaa dhulma? kwanza alikuwa anawatetea wananchi gani? Wabunge wa upinzani wakikamatwa huwa wanawakebehi, sasa nao wakiguswa tu kidogo kelele nyingiiii. Bora yeye alikamatwa na kuachiwa siku hiyo hiyo, je wenzake wanaosota siku hadi wiki mbili! Magdalena Sakaya si aliwekwa lupanbgo karibia wiki mbili, mbona hakutoka kumsaidia japo dhamana na wote wanatoka tabora!??
Hamisi Kigwangalla ameandika haya yafuatayo katika ukurasa wake wa facebook.. Hebu pitieni na nyie muone wenyewe..
"Kwa hakika dhulma imetamalaki katika nchi hii!
Ukandamizaji umetamalaki katika nchi
hii! Nimekamatwa na polisi nikitetea
dhulma na ukandamizaji..."
Hamisi Kigwangalla ameandika haya yafuatayo katika ukurasa wake wa facebook.. Hebu pitieni na nyie muone wenyewe..
"Kwa hakika dhulma imetamalaki katika nchi hii!
Ukandamizaji umetamalaki katika nchi
hii! Nimekamatwa na polisi nikitetea
dhulma na ukandamizaji..."
mnafiki mkubwa huyo..

HI JF members, kwanza kbsa mimi sio mwana CCM na 'll never ever hapn ktk dunia hii ila plse m2 akifanya kitu kussuprt wananchi wake hata kama ana F's kibao mpe credit yake. At the end of the day ukweli utajitenga na uongo. Ustaarabu ni kuwa na moyo wa appreciation n it u none atall.
tena ingekuwa bomba kama polisi wangekuchuna ngozi
Ana uzuri gani. Uliazima miwani ya watu nini ulipokuwa unamwangalia!hahahaha huyu jamaa ni kituko. kweli nimeamini mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu tena sanaa.. anayooongea ni ya ukweli kabisaaaa...alimkandamiza na kumdhuluma bashe bila woga...tena akajiona bonge la baunsa... sasa lAeo analialia nini huyu mtoto mzuri...hahaha anatia huruma...
huyu nae sijui ana matatizo gani, yaani unapingana na watu wanaokupatia ugali?? Njoo CDM kama kweli unamaanisha unachokisema, huko waache akina Six