Kigoma Yazizima kumlaki Dr Slaa

Kigoma Yazizima kumlaki Dr Slaa

hapo red ni jinsi gani watu wanavyomtukuza mtu mungu mtu slaa,enzi za zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama zinarudi chadema,watu wanachekelea,udikteta umerudi,fikra huru zimekufa
Unaongea kwa uchungu kweli leo mtajua kuwa CHADEMA ni ya watu na ni mpango wa Mungu
 
Habari zinaandikwa usiku, muda wa mkutano zinatupwa hapa pwaaa. Bavicha noma
 
Toka Januari mpaka leo tar 11.12.2013,sijawahi kuona mwana ccm yeyote akikizungumzia chama kingine cha siasa zaidi Ya CHADEMA! Hii inaonesha CDM inavyo wanyima raha,na bado subirini 2015 mtakavyo sambaratishwa.CHADEMA NI CHAGUO LA MUNGU.

Dunia haikaliki ahera hapaendeki wamepatwa na mfadhaiko magamba
Kama hujawahi shuhudia mfadhaiko huu ni mfadhaiko mkuu
 
Yaani Dr, anamwaga mapwenti hadi raha. Watu wanashangilia mbaka basi.
 
Kuna taarifa mnatoa hapa sio za ukweli hapa, mm niko mkutanoni lkn hizo shangwe mm sizioni, mbona mnapotosha?
Watu kweli wapo uwanjani lkn kimachalemachale sana watu wanaogopa kwamba huenda kuna machafuko

Hii picha inathibitisha niko uwanjani, pembeni hapo ni jengo la Bella.
 

Attachments

  • A slaa kgm.jpg
    A slaa kgm.jpg
    25.2 KB · Views: 439
Wanakigoma tumeaswa tusicheze ngoma ya ccm tusoijua, ya ukanda na udini.

Sasa hivi anapitia mpango kazi kwa kuwauliza wananchi kilichofanyika according to mpango.
 
Toka Januari mpaka leo tar 11.12.2013,sijawahi kuona mwana ccm yeyote akikizungumzia chama kingine cha siasa zaidi Ya CHADEMA! Hii inaonesha CDM inavyo wanyima raha,na bado subirini 2015 mtakavyo sambaratishwa.CHADEMA NI CHAGUO LA MUNGU.

Mbona hawahangaiki na DP ya Mtikila ambaye ni mwenyekiti wa kudumu.
 
Yaani Dr, anamwaga mapwenti hadi raha. Watu wanashangilia mbaka basi.

Mh! Jamani tuwe wakweli Dk. anazungumza mambo magumu sana watu hawamwelewi, anaongelea habari za Centralization watu hata hawajui nn anakiongea, kiukweli inatakiwa abadili hotuba hasomeki
 
Hii picha inathibitisha niko uwanjani, pembeni hapo ni jengo la Bella.

mbona picha yako imeipiga kiaina. watu wengi wako mbele lakini wewe umepiga nyuma kabisa huku watu wakionekana ni wengi sana mbele.
 
Hana uwezo wa picha za ukweli hata hii alisema ni kijijini Nyarubanda Kgm Kaskazini kumbe ni Kasulu Mjini nimekubali propaganda ndiyo nguzo kuu katika siasa. Sioni tofauti ya CHADEMA na CCM wala cha NCCR na CUF bora ya soka la kibongo mnagongwa wote ninaona.
View attachment 126055
c u when u c me!
Kumbe we ndugu yangu ni walewale tu, mbona unaumia sana Chadema inapozungumzwa vizuri? Unajifanya uko Chadema kumbe mnafiki tu
 
Back
Top Bottom