habariyamujini
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 3,094
- 457
Chadema ni wabaguzi waliokubuhu kabisa!
Mimi sio kijana, Akili zangu zingekuwa zimedumaa si ningekuwa Bavicha..
Unamaanisha akili zako zimeoza ndio maana upo UVCCM, maana kama akili za BAVICHA ZIMEGANDA basi za UVCCM zitakua zimeoza.
Inaelekea unakula mshahara sawana ndovu k Ila iko sikuutajifungia msalani usikie harufu yakoilivyo mbaya T2015 CDM PAMBANA KIJANA UTAMRITHI NEPI SOON NDO SERA YA CCM UKIJUA MATUSI UNAPANDA CHEOVerified User Kuandika utumbo kama huu ni aibu sana.
kadanganye wajinga, wasiofuatilia mambo, mkutano hauna watu, ndio mana hata ule wa asubuhi haukufanyika, hata huu ni watoto tu ndio wengi wamefata muziki
Chadema ni wabaguzi waliokubuhu kabisa!
Verified User Kuandika utumbo kama huu ni aibu sana.
Unaona nimeandika utumbo kwa sababu akili yako imeoza.... Au unamaanisha nyie ambao sio verified users mnaruhusiwa kuandika utumbo?
Unaona nimeandika utumbo kwa sababu akili yako imeoza.... Au unamaanisha nyie ambao sio verified users mnaruhusiwa kuandika utumbo?
Response yako bado inaonyesha uvivu wa kuelewa, huyu alitaka kukusaidia ili uweza kuongeza maari, waingereza wanasema "cover your a-ss". Kwa akili na busara iliyo ndogo kabisa binadamu bila kujali kiwango kipi cha elimu anaweza kufanya upu.mba.vu wowote ule so long he/she remains unidentified but he/she will cover his/her a-ss once exposed, so you do. i.e. a common mankind would like to acquire recognition as wise and not an i.diot likewise the audience perception.
Unajichoresha kuandika vitu vya kishamba kama hivi, mambo ya kujadili watu tuwaachie akinadada wa salon, wanaume tunajadili hoja.