sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,454
Hao waha nao watakuwa mambumbu kama watakubaliana na propoganda za Slaa, wakati wanajua kama anaandaa uongozi kwa ajili ya wana kaskazini!
We kaka si ujenge chama chako?
Hao waha nao watakuwa mambumbu kama watakubaliana na propoganda za Slaa, wakati wanajua kama anaandaa uongozi kwa ajili ya wana kaskazini!
CHADEMA, sio CCM yakusomba Watu kwenye Maroli kama MIFUGO. haohao waliopo ujumbe utafika kama unataka watu nenda KARIAKOO.
Hao ndio unasema watu wengi! Hivi,unazijua picha za slaa za kipindi cha nyuma akiingia uwanjani? Kulikuwa hakuna hata nafasi ya kuweka mguu! Yaani kwa sasa Slaa kwishaa!
Ha ha ha! Mnanikumbushaa enzi za Mrema kusukumwa na gari jangwani!
We kaka si ujenge chama chako?
Yeah! Bora niende Kariakoo nikaone watu,kuliko kunidanganya eti hao watu ni wengi!
kaskazini ya wapi mkuu?Hao waha nao watakuwa mambumbu kama watakubaliana na propoganda za Slaa, wakati wanajua kama anaandaa uongozi kwa ajili ya wana kaskazini!
Nenda ila roho inauma.Yeah! Bora niende Kariakoo nikaone watu,kuliko kunidanganya eti hao watu ni wengi!
Ooh sorry wewe dada
![]()
Hii ndiyo chadema
mkuu, hayawi hayawi, yamekuwa, walisema hakanyagi kigoma,ametia timu, chezea dr. Slaa weye!