Kigoma Yazizima kumlaki Dr Slaa

Kigoma Yazizima kumlaki Dr Slaa

Mh! Jamani tuwe wakweli Dk. anazungumza mambo magumu sana watu hawamwelewi, anaongelea habari za Centralization watu hata hawajui nn anakiongea, kiukweli inatakiwa abadili hotuba hasomeki
So unafikiri wa kusoma ni wewe tu, mbona watu wanaelewa vizuri tu. Ona aibu dogo.
 
Mh! Jamani tuwe wakweli Dk. anazungumza mambo magumu sana watu hawamwelewi, anaongelea habari za Centralization watu hata hawajui nn anakiongea, kiukweli inatakiwa abadili hotuba hasomeki

Tulia kijana dawa iingie.

Wewe unajuaje kama watu hawaelewi?
 
attachment.php
 
Anaita mtu jukwaani akasome, ili kujibu hoja za Zitto kuhusu hoja za ukaguzi.
 
watu wa chama chakavu wahaha kufuatilia mambo ya Chadema. Hawapati usingizi.
 
mbona picha yako imeipiga kiaina. watu wengi wako mbele lakini wewe umepiga nyuma kabisa huku watu wakionekana ni wengi sana mbele.

Hivyo ndivyo hali halisi ya picha ilivyo! Slaa yule wa kujaza uwanja wa mpira wote hayupo tena! Unadai kapiga upande haisaidii leta watu wajae kote! Slaa kwishaa!
 
Mh! Jamani tuwe wakweli Dk. anazungumza mambo magumu sana watu hawamwelewi, anaongelea habari za Centralization watu hata hawajui nn anakiongea, kiukweli inatakiwa abadili hotuba hasomeki

CCM ndo imekufanya uwaze hayo halafu sio Centralization anachoongea Dr ni Decentralization tatizo shule za yeboyebo.
 
mbona picha yako imeipiga kiaina. watu wengi wako mbele lakini wewe umepiga nyuma kabisa huku watu wakionekana ni wengi sana mbele.

Sikatai kabisa watu wapo lkn kimagumashi sana, hakuna shangwe wala bashasha watu wako kimya sana, Dk anaogopa kuongelea mambo mhimu
 
Anaita mtu jukwaani akasome, ili kujibu hoja za Zitto kuhusu hoja za ukaguzi.

Hao waha nao watakuwa mambumbu kama watakubaliana na propoganda za Slaa, wakati wanajua kama anaandaa uongozi kwa ajili ya wana kaskazini!
 
Hivyo ndivyo hali halisi ya picha ilivyo! Slaa yule wa kujaza uwanja wa mpira wote hayupo tena! Unadai kapiga upande haisaidii leta watu wajae kote! Slaa kwishaa!

CHADEMA, sio CCM yakusomba Watu kwenye Maroli kama MIFUGO. haohao waliopo ujumbe utafika kama unataka watu nenda KARIAKOO.
 
kwisha habari yao. watakachofanya ni kuanzisha uzi mwingine

Hao ndio unasema watu wengi! Hivi,unazijua picha za slaa za kipindi cha nyuma akiingia uwanjani? Kulikuwa hakuna hata nafasi ya kuweka mguu! Yaani kwa sasa Slaa kwishaa!
 
Back
Top Bottom