Kigoma Yazizima kumlaki Dr Slaa

Kigoma Yazizima kumlaki Dr Slaa

Kuna mtu anaitwa Taswira amekuja na story kenge kabisaa..weka picha tumchape!
BILA KUFANYA HIVYO ADA YA WATOTO WA TASWIRA utalipa wewe ? mwenzako hiyo ndiyo ajira yake ! hivi huioni JANUARY INAVYOKUJA KWA KASI ? KUWA NA HURUMA BHANA !
 
hapo red ni jinsi gani watu wanavyomtukuza mtu mungu mtu slaa,enzi za zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama zinarudi chadema,watu wanachekelea,udikteta umerudi,fikra huru zimekufa


Akiimbiwa jk ni sawa ila akiimbiwa slaa ni udikteta eeh!.... Acha wivu wa kike basi
 
BILA KUFANYA HIVYO ADA YA WATOTO WA TASWIRA utalipa wewe ? mwenzako hiyo ndiyo ajira yake ! hivi huioni JANUARY INAVYOKUJA KWA KASI ? KUWA NA HURUMA BHANA !


Ha ha ha ha .... December hii pia watoto wanataka nguo za xmass na mwaka mpya lol.. Lazima Taswira apike habari za uongo ili kipato kiongezeke
 
Last edited by a moderator:
Teh teh, chadema inatisha, hivi kinachoitwa chama cha msimu mpaka kimetoa stahiki meya ujiji? Congratulation wana kigoma!
 
huyu sio mtu ni kikundi cha wahuni utumia hii ID, ilinishangaza wakat kinana yupo safarin na TAZARA, ID hii ikaripot wakt huo huo naona ipo kigoma.

Bado hamjaujua huu mchezo wao wa kifisadi? Huyu ni mtu mmoja. Siwezi kumtaja kwani last time nilikula ban baada ya kumuweka hadharani.

Anachofanya ni kununua habari kwa waandishi makanjanja wasio na maadili. Anahakikisha anapata za kuchafua cdm na za kupamba mafisadi ccm.

Hiyo ndio sababu unaona kama yuko kila kona ya nchi. Soon tutawawekea hao waandishi makanjanja umma uwajue.
 
DR SLAA NDIYE MTU PEKEE aliyebeba matumaini ya WATANZANIA , MUNGU AMLINDE NA WALE MAHARAMIA KUTOKA MWANZA .
 
hapo red ni jinsi gani watu wanavyomtukuza mtu mungu mtu slaa,enzi za zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama zinarudi chadema,watu wanachekelea,udikteta umerudi,fikra huru zimekufa

Nyani haoni kund-ure lake
 
Toka Januari mpaka leo tar 11.12.2013,sijawahi kuona mwana ccm yeyote akikizungumzia chama kingine cha siasa zaidi Ya CHADEMA! Hii inaonesha CDM inavyo wanyima raha,na bado subirini 2015 mtakavyo sambaratishwa.CHADEMA NI CHAGUO LA MUNGU.
 
ccm chama chakavu naona mnajitahidi sana kupotosha ukweli mshindwa kwa jina la Yesu kamanda wekeni picha
 
TAARIFA ZILIZONIFIKIA HIVI punde ni kwamba wale wote waliolipwa pesa ili kuvuruga mikutano ya DR SLAA , wameamriwa kurejesha pesa zote walizochukua , maana wameshindwa kufanya kile walichotumwa , VINGINEVYO ZITAWATOKEA PUANI ! HAYA SASA !
 
Kuna taarifa mnatoa hapa sio za ukweli hapa, mm niko mkutanoni lkn hizo shangwe mm sizioni, mbona mnapotosha?
Watu kweli wapo uwanjani lkn kimachalemachale sana watu wanaogopa kwamba huenda kuna machafuko
 
Back
Top Bottom