Kigoma Vs Mtwara: Mkoa upi upo nyuma kimaendeleo?

Kigoma Vs Mtwara: Mkoa upi upo nyuma kimaendeleo?

Nimefika hii mkkoa yite recently.

Ukiilinganisha hii mikoa kwa kuangalia maendeleo ya the last 10 yrs, mtwara ipo juu hasa baada ya uwekezaji wagas na dangote na barabara ya kwenda songea pamoja na daraja la umoja kuisha. Na sasa wanajenga barabara ya mtwara tandahimba masasi hii nayo ikiisha itaifungua sana mtwara, usisahau pia kilimo cha korosho kilivyiwanyanyua kiuchumi.

Kigoma is very potential, kufa kwa reli ya kati kwa miaka 20 iliyopita imeirudisha nyuma sana kigoma, kigoma kuna potential nyingi ambazo hazijawa exploited, lakini barabara za tabora kigoma na nyakanazi kigoma zikiisha kigoma patakua sana kwa kasi ya sgr.

Ukilinganisha mikoa hii kwa sasa, ni kweli mtwara ipo juu, lakini ukizilinganisha kwa kuangalia 10 yrs to come kigoma ni habari ingine kwa mtwara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
People wa kigoma wana akili sana than wa mtwara katika nyanja zote
 
Kibiashara huwezi fananisha mtwara na kigoma..kimsingi kigoma imechangamka kibiashara mana waha ni watafutaji zaidi mwingiliano wa watu kutoka mataifa ya jirani.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
kigoma ndio mkoa masikini kuliko mikoa mingine yote hapa nchini
 
Back
Top Bottom