CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,869
- 16,014
Tujadili
Jamani waungwana napata shida sana kuweza kutambua mkoa upi kati ya MTWARA NA KIGOMA uko nyuma zaidi kimaendeleo. Msaada wenu ili nijikite sehemu iliyonyuma kufanya research yangu..
Ninafanya masters katika Community Development, hivyo hiyo mikoa naona itanifaa, nimewahi kufika Mtwara miaka ile ya gesi ila Kigoma bado.