Nilikuwa najiuliza huyo jamaa anayetumia vigezo vya nauli kupima maendeleo yuko wapi, maana ukiwa Mwanza hata kama unaweza kutoka Mwanza hadi Mtwara kwa lami bado nauli itakuwa juu kuliko kwenda Kigoma barabara ya vumbi.Nonsense hiyo ni hali kawaida kijogolafia
Yaani mpaka leo kuna watu mnaamini mabusha ni ulozi! Mbona mikoa ya pwani ndio mabusha ndio kwao?Nimefka kigoma kule kigoma
chakula kipo ila hawajui kupika
Yaan unaenda kula hotelin chakula kimepikwa kwa mawesee had pozi la kula linaisha
Kuna sehemu panaitwa kibirizi wachawi balaa wanashusha watu mabusha
Pia Kule hawatembei na open shoes sababu ya funza
kuna mabusha ya ulozi na ya ugonjwaYaani mpaka leo kuna watu mnaamini mabusha ni ulozi! Mbona mikoa ya pwani ndio mabusha ndio kwao?
Vv
Kwahyo agriculture sio maendeleo !!?? Hahahahaha nchi hii vichaa ni wengi sanaMada inahusu maendeleo sio kulima sana, wapo watu wanatoka jasho kila siku ila maisha yao bado yako chini, hapa wanamaasha miundo mbinu majengo, biashara. kulima sana sio maendeleo,
Muraaa!Sasa kama iyo mikoa mingine inamaendereo mbona tunakimbiria dar
Demba, umecomment nini sasa? Hujafika Mtwara wala Kogoma...lkn Mtwara pako vizuri kuliko Kigoma! Sasa umejuaje kama hujafika popote kati ya hiyo miji miwili?sijafika mtwara wala kigoma...lakini mtwara pako vizuri kuliko kigoma
Sasa unayatofautishaje Mkuu? Au busha la ulozi linakaa kichwani?kuna mabusha ya ulozi na ya ugonjwa
Sasa mtu anakuonya acha kutembea na mke wake usikii akikutoa busha utasema nini? kama sio ulozi wenyewe
...Ongezea na Lindi, tena Mtwara ina afadhali kuliko Lindi.Hiyo mikoa yote ipo sawa/haina maendeleo.
....Si amekuambia anafanya research ili kubaini the poorest ? Labda kuna wafadhili wanataka kusaidia the poorest region utajuaje?Halafu mkishajua upi uko nyuma?
mnataka kuja kutuendeleza?
em mtuache jamani tumechoka kuzungumziwa kila siku
Wamakonde hivi ,wamakua vile
wayao sijui wamefanyaje....
tuacheni jamani tuko vizuri tu.
Nilipita siku moja huko ni hatari sana lakini ardhi yake ni tamu balaa, sijui kwa nini wananchi wake ni maskini....Ongezea na Lindi, tena Mtwara ina afadhali kuliko Lindi.