Kigoma Vs Mtwara: Mkoa upi upo nyuma kimaendeleo?

Jamani waungwana napata shida sana kuweza kutambua mkoa upi kati ya MTWARA NA KIGOMA uko nyuma zaidi kimaendeleo. Msaada wenu ili nijikite sehemu iliyonyuma kufanya research yangu..

Hivi nani kasema Mtwara ipo nyuma kimaendeleo?
 
Nimefka kigoma kule kigoma
chakula kipo ila hawajui kupika

Yaan unaenda kula hotelin chakula kimepikwa kwa mawesee had pozi la kula linaisha

Kuna sehemu panaitwa kibirizi wachawi balaa wanashusha watu mabusha

Pia Kule hawatembei na open shoes sababu ya funza
 
Mi nadhani kigoma pako juu kuliko ntwara, ntwara wamekalia ngoma tu hamna chochote cha maana
 
Jamani waungwana napata shida sana kuweza kutambua mkoa upi kati ya MTWARA NA KIGOMA uko nyuma zaidi kimaendeleo. Msaada wenu ili nijikite sehemu iliyonyuma kufanya research yangu..

baseline information huwezi kuipata kwa kufanya survey humu, nenda Kwa watu WA Takwimu, data hizo wanazo
 
Ahsanteni wanajamvi nazidi kupata ifafanuzi zaidi juu ya mikoa hii.. kwa kuwaulizia watu wa takwimu always wanaangalia ishu za sensa na mambo ambaya kidogo yana ukakasi.. nilitaka yule mtu ambaye amefika sehemu zote mbili hizo anipe ukweli
 
Wewe mtoa post unafananishaje Mtwara na Kigoma? Mtwara iko mbali sana tena sn kw sasa! Miundo mbinu iliyopo, uwekezaji ulifanyw na serikal na private sector, uzur wa mji, kipato cha mtu mmojammoja na hata fursa zilizopo ni nyingi sn pale Mtwr kiac had uje ufananishe na Kigoma daah ni kufanya mzaha mkuu! Mtwara inakimbia kwa kweli....Hata B.O.T. wamefungua ofice kule kuonesha uchumi unachangamka.
 
Mtwara kuko njema kuliko Mikoa Mingi sana inayosifika!

Mh. Anna Abdallah alipopewa Wizara ya Afya wakati wa Mkapa alifanya Kama Wachagga wanavyofanya!

Miradi yote Mikubwa ya Afya alipeleka kwao hivyo Wingi wa NGOs za Afya kulisaidia sana
Hii tabia na ilaaniwe kizazi na hata kizazi,yani huoni aibu kusifia mambo yakipuuzi?"kama wachaga wanavyofanya".Tanzania hii ni yetu sote na kila mtu anastahili huduma bora kwani kila mtu analipa kodi,sasa Makabila yaliobahatika kutoa maraisi wakiamua kufanya huu upuuzu itakuwaje?
 
Ikisemwa Kama 'Kama Wachagga wanavyofanya' kwa akili yako ni kusifia huko?

Kweli akili ni Nywele na wengine wana viparangoto!
 
Inaonekana watu wengi humu ndani hawajafika kigoma au comments nyingi wanazitoa watu wa mtwara, ila kiukweli kigoma iko vzr kuliko mtwara.

Huwezi kulinganisha mtwara na mkoa ambao unapakana na nchi4 nadhani unaelewa namaanisha nn.kigoma ndo mkoa pekee nchini ambao huwezi kusikia watu wake wanalia njaa,maji,umeme,mvua,ardhi n.k
Kgm Kuna project nyingi sn ziko jikoni tofauti na mtwara km vile
Kilimo cha umwagiliaji bonde la mto luiche , uchimbaji wa gas Lake Tanganyika, Bandari ya nchi kavu n.k
Kwa hyo msiwe mna kariri tu mambo yanabadilika tembeeni.
 
Mada inahusu maendeleo sio kulima sana, wapo watu wanatoka jasho kila siku ila maisha yao bado yako chini, hapa wanamaasha miundo mbinu majengo, biashara. kulima sana sio maendeleo,
 
Jamani waungwana napata shida sana kuweza kutambua mkoa upi kati ya MTWARA NA KIGOMA uko nyuma zaidi kimaendeleo. Msaada wenu ili nijikite sehemu iliyonyuma kufanya research yangu..
We Uko mkoa gani

Ova
 
Inaonekana watu wengi humu ndani hawajafika kigoma au comments nyingi wanazitoa watu wa mtwara, ila kiukweli kigoma iko vzr kuliko mtwara.

Huwezi kulinganisha mtwara na mkoa ambao unapakana na nchi4 nadhani unaelewa namaanisha nn.kigoma ndo mkoa pekee nchini ambao huwezi kusikia watu wake wanalia njaa,maji,umeme,mvua,ardhi n.k
Kgm Kuna project nyingi sn ziko jikoni tofauti na mtwara km vile
Kilimo cha umwagiliaji bonde la mto luiche , uchimbaji wa gas Lake Tanganyika, Bandari ya nchi kavu n.k
Kwa hyo msiwe mna kariri tu mambo yanabadilika tembeeni.

Nadhani wachangiaji wapo sahihi kusema mtwara ipo juu. Kwa maelezo yako project nyingi za kigoma zipo jikoni wakati kwa mtwara project nyingi tayari zipo mezani. Hivyo, wachangiaji wametoa maelezo kwa hali iliyopita sasa na sio inayotarajiwa/ijayo.
 
Jamani waungwana napata shida sana kuweza kutambua mkoa upi kati ya MTWARA NA KIGOMA uko nyuma zaidi kimaendeleo. Msaada wenu ili nijikite sehemu iliyonyuma kufanya research yangu..
Kwann usinge sema mkoa gani upo mbele kimaendeleo pia wewe ni tatizo!!!!!??
unataka kufufua makaburi ya kwanini wakuu wa kaya wote waliopita walipatelekeza yanni tangu enzi za teacher,ntwara waliitumia kama base yao na kusaidia nchi nyngne kupigania uhuru matokeo yake ikawa inashambuliwa baadae cjui ikawaje imesahaulika kabisa,nlikuwa pale kakonko miaka flan nahisi 1995 yan ilifikia hatua mtu wa kigoma akiombakazi ile sehem ya kabila anajaza kabila jingne maana ilikuwa akiandika muha basi kakosa....makaburi unayofufua yataliza wengi kijana
 
Nimefka kigoma kule kigoma
chakula kipo ila hawajui kupika

Yaan unaenda kula hotelin chakula kimepikwa kwa mawesee had pozi la kula linaisha

Kuna sehemu panaitwa kibirizi wachawi balaa wanashusha watu mabusha

Pia Kule hawatembei na open shoes sababu ya funza
funza zipo mbozi, ileje, makete, usangi na ugweno, gairo nk, nadhani funza zinasababishwa na aina ya udongo
 
Mkuu mtoa Mada, Kaka Mkubwa wewe.. Kwenu ni wapi... Unajua wabongo wanajifanya kuyashangaa Maisha ya mikoa mingine as if kwao Maisha ni tofauti kabisaaa.. Tupatie mkoa wenu tulinganishe na mikoa hiyo hapo juu uloitaja... Tunaifahamu Tanzania vzr sana... Kuna mikoa kila mwaka inatangazwa njaa, Kati ya mikoa hiyo Mtwara wala kigoma haipo.. Acheni ujinga
 
Back
Top Bottom