Kigoma Vs Mtwara: Mkoa upi upo nyuma kimaendeleo?

Kigoma Vs Mtwara: Mkoa upi upo nyuma kimaendeleo?

Kwahyo agriculture sio maendeleo !!?? Hahahahaha nchi hii vichaa ni wengi sana
Ingawa Umenitusi, hamna shida, imenipa kufahamu wewe ni mtu wa aina na gani, Ila tu miji mikubwa yote haitegemei sana kilimo, ila ona maendeleo yaliyopo kwenye miji hiyo, Ona maisha ya wakulima wengi, ona nchi nyingi zilizoendelea kama wanategemea kilimo. unapotazama mafanikio usitizame mtu mmoja mmoja tazama kwa ujumla wake. Nakuruhusu kuweka tusi.
 
Kote sijafika ila nadhani kwasasa Mtwara imekua kiuchumi hasa kutokana na ugunduzi wa gas na ujenzi wa kiwanda kikubwa cha cement.
 
najivunia sana masasi yangu nikitoka dar saa 7 mchana nafika home saa 3 na samaki wangu mkubwa kutoka pale nangurukulu
 
Kigoma hata jua linachelewa kuzama.
Hahahaaaa duuuu ama kweli watu wangu waangamia kwa kukosa maarifa ila kuna kusoma kelewa na kusoma kuelimika ni vitu viwili tofauti sasa sielewi wasomi wa nchi hii wamesoma kuelewa au kuelimika
 
Mkuu wala hakuna haja ya kupata nao tabu

Tena waache hivyo hivyo waendelee kuamin mtwara ni mkoa taabani usiwastue.

Usije ukawastua wakaanza kutuwekea kauzibe bure
Aiseee wewe ni soo na wenyewe tulivyo manyumbu ukiwafumbua macho na masikio hatukawii kuandamana huko The Big Show
 
Yani huyo anaiulizia mtwara hii yenye kiwanda kikubwa cha cement africa mashariki na kati. Yani hiko ndio kikubwa kuliko vyooote vya cement..... Dah amechemka kweliiiii
 
Mtwara inaingia Top 10 ya mikoa yote tanzania inayokua kwa kasi kimaendeleo. Pia sio tena mkoa maskini
 
Nenda mkoani kwenu kafanyie hiyo research.
Tanzania karibu mikoa yote ukiitoa Dar es salaam hali zinalandana.
Kama lengo lako uikashifu mikoa yetu ushindwe. Zamani nilipokutana na wanafunzi wenzangu shule za bweni kazi yao ilikuwa kutupondea kwetu huku wakisahau kuwa kitendo cha wao kuja kusoma kwetu ni dalili ya maendeleo kwetu, wengine wakajifanya kwao ni dar kumbe Chato ndo wamezaliwa.
Ashukuriwe Mungu mpaka sasa nimetembea mikoa kama 20 na nimegundua Mtwara tuna unafuu sana.
Unafuu mkubwa sana, Mfano Newala maendeleo kwa sasa ni hatua kubwa, hapo Masasi utasema ni Dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom