Zura
Member
- Jun 13, 2021
- 48
- 57
Si kweli mkuu!!Ujiji kila siku asubuhi ukitembea unakuta njiani nazi na madawa ya kienyeji. Sio kwamba naongeza chumvi ila ni kila siku lazima ukute hivo vitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu taja ujiji sehemu gani?
Maana ujiji kubwa, mfano buzebaze, vamia, majengo, kitongoni, rutale, bimala au katonyanga?