Thubutu hii habari ni mwiba kwa gazeti la Uhuru.
Na chama kinachotawala kina uwezo wa kumbambikia mtu kesi ili waonekane wanawakamata wauwaji, kuelekea uchaguzi mkuu October 2015.Wasi wasi wangu hii isije ikawa ni njia ya kubambika kesi kwa manufaa ya kisiasa na kukwepesha ukweli.
Chegeni hajawahi kuwa mbunge wa Magu na wala haishi Nyanguge, kwao ni Mkula na anakaa Mwanza njia ya kuelekea Bwiru mashine ya mawe. Naona mwaka huu Lowassa atawachomoa uhai, hampati usingizi mnamuwaza tu.
Hakikahuyo lazima atakuwa gamba....
Kigogo mmoja wa chama
ambaye jina lake halikutajwa wala chama anachotoka anashikiliwa na jeshi
la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kujihusisha na mauaji ya albino
na utengenezaji wa noti bandia.
Magazeti yameripoti leo yakisema kigogo huyo anahusishwa na mbio za
urais.
Najua JF is where we speak openly haitashindikana kulipata jina wa chama
anachotoka.
Huu wote ni umbeya. Hakuna hata mmoja ambaye ameandika kutu kinachoeleweka.