Unataka kujua nini kasome gazeti lenu la kipumbavu uhuru ndo ujue unachotaka
Acha hasira,utaja tukana mtu pasi na makosa,nieleweshe nijue ni mwenyekiti wa chadema wa wilaya ya wapi?
Nikusaidie mie si wa gazeti la uhuru kama unavyodhani.
Ila nijibu,maana ni kama taarifa yako inaoanisha na tukio lililoandikwa kwenye magazeti ya leo.