Kigogo mbaroni Mwanza mauaji ya albino

Kigogo mbaroni Mwanza mauaji ya albino

Jana gazeti mojawapo kati ya magazeti ya kila siku lilitoa tarifa kuwa yupo kigogo mmoja na kiongozi wa chama kimojawapo cha siasa alikmatwa kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Albino.

Tarifa hiyo haikutaja jina la kiongozi wala chama anachotoka,

Lakini katika mwendelezo wa tarifa hiyo baadhi ya magazeti ya leo yameweka bayana kuwa aliyekamatwa ni mwenyekiti cha chadema wilaya ya magu akituhumiwa kujihusisha na utekaji na uuaji wa binadamu wenye ulemavu wa ngozi(albino),

Tarifa zaidi zimebainisha kuwa mwenyekiti huyo baada ya kukamatwa amepelekwa mwanza kwa mahojiano ya kina na ufuatiliaji zaidi.

Wadau mbalimbali waliwahi kudokeza kuwa mauaji haya yanahusishwa na wanasiasa pamoja na wafanyabishara haramu na wale ambao wanaamini katika ushirikina.

watanzania kwa umoja wetu ni vema tuendelee kuwaibua na kuwataja watu wote wenye nia ovu kama hiyo ili kukomesha tabia hii chafu ya kishetani.
 
Mwenye gazeti la jina hilo atuwekee hapa. Hawa wanasiasa ni shiiida.
 
hii nch banna!!!!....ni ful comedy, i knew it..
 
mleta mada tutajie gazeti na jina la Mtuhumiwa.
 
Katika hili hakuna kucheka na mtu kama uthibitisho upo sheria isimame mahara pake wala wasiyumbe katika maamuzi.
 
....

......duh singo nyingine hii itachuja kesho andaeni nyingine !!
 
Kama kweli ni mtendaji sheria ichukue mkondo wake ila kama ni mambo ya kisiasa pia asionewe
 
Hata hivyo mmechelewa sana kukihusisha CHADEMA na propaganda za mauaji ya ALBINO.

Tafuteni propaganda nyingine.!
 
ngumu kumeza. isije ikawa ccm wanaleta siasa kwenye uhai wa watu.
 
Ni lazima kuwashughulikia ipasavyo washiriki wote wa mauaji ya albino bila kuangalia kabila, rangi, jinsia au chama chake.
Hapa kinachotakiwa ni ushahidi ili kuhukumu kwa haki.
 
Yaani kwakeli siasa inaweza kukufanya ujifanye kuwa kipofu wakati unaona, jana thread kama hii iletwa ila jina la kigogo alikutajwa cha kushangaza wenzetu wakawa wanatabiri kuwa uyu atakuwa ni kiongozi wa CCM lakin leo nashukuru mtoa mada kwa kuja na fact najua wengi watakuwa kimya na wengine watasema ameonewa kwa sababu ni CHADEMA.
 
magazeti ya leo wameandika aliyekamatwa ni mwenyekiti wa chadema Magu na pia anahusishwa na pesa feki
hii ni siasa au ni kweli??

Magazeti gani wahusika wanajulikana ni makada wa ccm
 
Back
Top Bottom