Ccm ni wapumbavu sana wamemukamata mwenyekiti wa wilaya wa chadema wilaya mr Makanyaga.
Wanajaribu kutisha watu na viongozi wetu ni mchezo uleule uliofanywa kwa lwakatale mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CDM.
Na sasa hivi anayeucheza mchezo huu ni mkuu wa mkoa
Eleza ueleweke,huyo mwenyekiti unaesema amekamatwa kwa kosa lipi? Ni wapi huko? Hapa tunafuatilia kigogo aliekamatwa kwa kutuhumiwa na mauji ya albino na utengenezaji wa noti bandia.
Je unachoturipotia wewe ni kipi?