Kigogo mbaroni Mwanza mauaji ya albino

Kigogo mbaroni Mwanza mauaji ya albino

Huyu waliombambikiza kesi ni katibu wa CDM wilaya ya Magu na karibu mwezi unakaribia kuisha yuko ndani polisi huko Magu wakitafuta ushahidi bila mafanikio kwa kulazimisha watu watoe ushahidi dhidi yake. Na hili ni shinikizo toka kwa Mulongo. Maana Ccm Magu ina hali mbaya sana.
 
Kuanzia sasa kusikia kiongozi wa UKAWA kakamatwa na risasi, Bunduki, meno ya tembo, mkono wa albino, bangi , sio Raia wa Tanzania na n.k itakuwa kawaida maana ndo imebaki mbinu ya ccm kushinda.
 
Ccm ni wapumbavu sana wamemukamata mwenyekiti wa wilaya wa chadema wilaya mr Makanyaga.
Wanajaribu kutisha watu na viongozi wetu ni mchezo uleule uliofanywa kwa lwakatale mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CDM.
Na sasa hivi anayeucheza mchezo huu ni mkuu wa mkoa

chadema bana, hamtaki wachinja albino wakamatwe! Jitu li criminal kabisa, linashikiliwa kwa mahojiano unakurupukia kudai kabambikwa kesi! We ulita iweje?
 
Hizi habari nyingine huibuliwa kwa madhumuni ya kufunika kombe ili serikali yenu ionekane inashughulikia mauaji ya albino...
 
Tusiwe na haraka kwa CCM lolote linawezekana ili mradi wapate wanachohitaji
Usije kushangaa anakamatwa kiongozi wa upinzani lengo lao likiwa ni kutafuta pa kutokea
Kumbuka hao bado ni PoliCCM hawajabadilika.
 
Kama taarifa ni kwamba huyo mtuhumiwa anakaa Nyanguge na ana Hotel Mza. Si mwingine ni yule aliyetangaza kumuunga mkono EL. Anaitwa Raphael Chegeni, aliwahi kuwa mbunge wa Magu

Hoteli hii si ndiyo ile ambayo mtoto Pendo aliyetekwa Kwimba alionekana akihudumiwa hapo mara ya mwisho?
 
Kama ni kweli kigogo atakuwa ni wa CCM angekuwa ni wakutoka UKAWA ungewasikia akina Mwigulu na akina Nape wangetoa povu mpaka mashariki ya mbali lingefika.
 
Wagombea uraisi wote wapo dar kwenye msiba wa komba ninani huyo?
 
CCM imekuwa ikitumia mbinu ovu kuisingizia Chadema lakini kila mbinu imekuwa iki backfire, hata sasa wakijaribu itawaumiza zaidi CCM kuliko Chadema maana hata walemavu wenyewe wanawajua wauaji, hukusikia juzi m/kiti wa albino alisema waliweka mtego wa nywele zake mkemia mkuu alipozipima akasema ni za mdoli.

hii sikuipata aisee
 
Mbona ni magazeti mawili tu yameripoti uhuru na jambo leo?

Kama serikali inataka kuingiza siasa kwenye hili jambo haitafanikiwa kutokomeza mauaji haya.

You have a point. Hii ina maana wamepanga kumtupia kiongozi wa upinzani hili zigo. Na engineer ni Mulongo.
 
Nimeanza kufuatilia toka nisikie asubuhi. Nami bila chenga nitarudi na habari kamili. Stay tuned, kwenye hili la kuua Albino huyo mwenyekiti hata atoke kwenye ukoo wangu acha chama nikipendacho lazima nitamuwasha tuu hapa JF. Dunia haiwahitaji hao washenzi.
Ukisahau kuni-mention kwahuo uchunguzi najinyonga, I hate watu wauwaji kuliko kitu chochote kile. MUNGU awahukumu leo hiii
 
Kumuuwa ALBINO ni dhambi isiyofutika.Hakuna sababu yoyote ile ya kutokumtaja muhusika au hata kama ni SUSPECT.Watajwe tu ili tuwajuwe na tusaidie polisi."UKWELI PIA HUPATIKANA KWENYE UWONGO"
 
Huyu waliombambikiza kesi ni katibu wa CDM wilaya ya Magu na karibu mwezi unakaribia kuisha yuko ndani polisi huko Magu wakitafuta ushahidi bila mafanikio kwa kulazimisha watu watoe ushahidi dhidi yake. Na hili ni shinikizo toka kwa Mulongo. Maana Ccm Magu ina hali mbaya sana.

aisee haiwezekani mtu akatwe mwezi mzima halafu taarifa zipatikane leo. hapo unadanganya. maana huwa hamchelewi kuzusha jambo kuwa amrtekwa.

unawakumbuka wale wahuni wa tarime ambao baada ya mkutano walienda guest kuzini nyie mkatangaza wamekamatwa na polisi?

walipomaliza uzinI ulisikia tena mnawatafta?
 
unajua haya mambo hayaishi kwa sababu hakuna dhamira ya kweli ya kukemea na kutokomeza haya mauaji na zaidi kuchukua hatua za kisheria haraka iwezekanavyo. kuna kesi ya mauaji ya albino huko Geita ambayo yalifanyika mwaka 2008 kesi imeviringwa weeee sasa hukumu kusomwa machi 11 mwaka 2015. vyama vya albino wanavyolaumu serikali inapuuza sio uongo ni kweli. ndio maana naendelea kusisitiza Dkt.John Pombe Magufuli ambaya jimbo lake yametokea mauaji ya mtoto Yohana Shija akamatwe mara moja kwa ajili ya mahojiano na sio anaachwa anafanya ziara.

kama mtu hana huruma anaiba tu fedha za umma na kusababisha huduma za jamii kuwa mbaya hawezi shindwa kuua ALBINO hawa kina Samwel Sitta, Andrew Chenge, Prof.Tibaijuka, William Ngeleja, Shaban Gurumo, familia kuu hawawezi shindwa CHINJA ALBINO. Tutashukuru wakitangulizwa na kuiacha dunia na Tanzania mahala salama AMINI
 
Atakuwa huyu aliyekuwa mwanza juzi na jana.

Mama hiyo akili uliyoiacha kwenye kend zg mchepuko ni taabu, bora ungebaki nayo mwenyewe! Wenzio wanasema kigogo wa MWANZA wewe unataja mgeni!
 
gamba ni kama dini tu si kitu cha kudumu. Leo anaweza kuwa gamba kesho gwanda au akavaa mini-suruali inategemea tu channel ya ugali imeshika wapi. These men arnt real
ndiyo ukweli ...time speak
 
Back
Top Bottom