Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,570
Mtuhumiwa atakuwa ametumwa na huyumleta mada tutajie gazeti na jina la Mtuhumiwa.
Mtuhumiwa atakuwa ametumwa na huyumleta mada tutajie gazeti na jina la Mtuhumiwa.
Tatizo la wachangiaji baadhi yao siasa zimetawala vichwa vyao kwahiyo hata jambo la msingi wao wanalipeleka katika siasa ni dhana mbaya sana kuwa na jamii inayowaza siasa tu mda wote hata kwenye mambo ya msingi.Yaani kwakeli siasa inaweza kukufanya ujifanye kuwa kipofu wakati unaona, jana thread kama hii iletwa ila jina la kigogo alikutajwa cha kushangaza wenzetu wakawa wanatabiri kuwa uyu atakuwa ni kiongozi wa CCM lakin leo nashukuru mtoa mada kwa kuja na fact najua wengi watakuwa kimya na wengine watasema ameonewa kwa sababu ni CHADEMA.
Kwanini tusimuuwe huyu muaji wamkaa naye mpaka sasa wa nini.Ni mwenyekiti wa chadema wilaya ya magu
Ni mwenyekiti wa chadema wilaya ya magu
Huyo jamaa jina lake linaanzia na K..
Usi hisi hisi tuache vyombo vya usalama vifanye kaziAliyekamatwa nojba wangu ni Mwenyejiti wa Chadema magu nahisi harskati zake za kukiimarisha chama chake ndizo chsnzo cha kesi hii ta kusadikika...
anaitwa
silyvester Makanyaga
Ni mwenyekiti wa chadema wilaya ya magu
kila kukicha tunasikia albino ameuwawa , kesho mwingine na mwingine takwimu zinatisha, na ni ukweli wa wazi kuwa serikali ya ccm imeshindwa kulinda maisha ya albino , Albino wote kwanini msijiorganize muombe asylum au ukimbizi nchi za ulaya na Marekani, kwani huko wote wana takwimu za mnavyouwawa bila hatia bongo. Tanzania si mahali salama kwa albino huu ni ukweli japo ni mchungu kumeza, mtoto Bahati alieuwawa juzikati amenisikitisha mno , machozi yamenitoka. hadi uchaguzi upite watakuwa wamemaliza albino watoto wetu , kaka zetu , dada zetu , mama zetu.
Tena hakuna kiongozi yoyote aliehudhuria mazishi ya albino wao ni kusikitika wakiwa kwa mbali sijui ndo maagizo ya waganga?
Mh...Ukiandika 'K' unawatamanisha watu humu sexologist mbona unalitambua hilo tena hata ID yako inadhihirisha?
dah mkuu,nilikuwa napita kwa mbali tu but baada ya kuona comment yako ikabidi nije tu.hapa nauona ukweli