Tetesi: Kigamboni ni mnyukano wa hatari Ubunge

Tetesi: Kigamboni ni mnyukano wa hatari Ubunge

TauHeeeD

Senior Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
191
Reaction score
134
Amechezesha ligi kwa vijana mtaa kwa mtaa na jezi,kawatembezea wenyeviti na wajumbe umande kwenye ukame, vijana wazee ni Boka Bokaa, hii michezo ya wajumbe kaiweza au tusubirie kauka patupa tia mchuzi gari la udongo. Wana kigamboni tupo tiyari kwa nani
 
GSM ndio mgombea, wengine wasubirie tu
 
Wazee naombeni mnitoe tongotongo, mchakato wa kuwapata wale wajumbe wanaowapiga watia nia za uso huwa ukoje?
 
Eng. Herci jeuri apewa na nani?
Basi ni Injinia Hers Said na sio Gharib Said.Ukisema Gsm umtendei haki.Tunajua nyuma ya mtu Kuna mtu lakini yunayemuona ndo tunadeal nae.
 
Bado nyumbani kwa spika mstaafu, mdhamini wa mabingwa ana litaka jimbo la jamaa
 
Basi ni Injinia Hers Said na sio Gharib Said.Ukisema Gsm umtendei haki.Tunajua nyuma ya mtu Kuna mtu lakini yunayemuona ndo tunadeal nae.
Kuna wakati misemo tunaivalisha nguo, endelea kufunua
 
Haha ndiye ninayemsema kuwa nyuma yake yupo GSM
na nyuma ya GSM yupo nani…?? jimbo la mkakati hilo..bora konda alilikimbia…umafia mtupu jimbo hili..R.I.P Ndungulile…Hongera Pro. Janabi…Karibu Eng Hersi…🧠
 
na nyuma ya GSM yupo nani…?? jimbo la mkakati hilo..bora konda alilikimbia…umafia mtupu jimbo hili..R.I.P Ndungulile…Hongera Pro. Janabi…Karibu Eng Hersi…🧠
JK
 
Kwa ile comment yako kimantiki haiko hivi. But nweii umeeleweka.
Hilo ni jimbo la kimkakati na lina wenyewe:
Aliondolewa Ndungulile akawekwa Janabi...anawekwa na Eng.
Nyuma yake kuna Nyangumi Jeikei kwa Kivuli cha GSM...mjukuu Eng. H
 
Alooo hichi kizaa zaa cha kuandaa mazingira nakwenyewe ni risk management
Sisi wanakigamboni tunamuhitaji mtu atakayetutatulia changamoto ya miondombinu ya barabara,stend hatuna n.k
 
Back
Top Bottom