Dr Dau kipindi cha nyuma aliskika sana sijui imekuaje kijana wazamani wa K/koo alipania kweli kweli.na nyuma ya GSM yupo nani…?? jimbo la mkakati hilo..bora konda alilikimbia…umafia mtupu jimbo hili..R.I.P Ndungulile…Hongera Pro. Janabi…Karibu Eng Hersi…🧠
Hakuna mbunge wa kujenga barabara wala stand,ni kazi na mipango ya serikali kuuSisi wanakigamboni tunamuhitaji mtu atakayetutatulia changamoto ya miondombinu ya barabara,stend hatuna n.k
Mbunge ni mwakilishi wa wananchi sasa nini maana ya mwakilishi? mwakilishi ni yule anayezisemea Shida na Changamoto za wananchi katoka Jimbo lake na kusimamia utekelezaji wa miradi mbalimbali jimboni kwake kwa niaba ya wananchi.Hakuna mbunge wa kujenga barabara wala stand,ni kazi na mipango ya serikali kuu
pale hapagusiki..Pana siri nzito..Watanzania hamfatilii mambo kabisaa…hata ule mradi wa kigamboni tu mnashindwa kukonect dots..Dr Dau kipindi cha nyuma aliskika sana sijui imekuaje kijana wazamani wa K/koo alipania kweli kweli.
Hakuna hiyo kitu ndugu,hizo ni schematics tu,labda mbunge wako awe waziri,na hapo awe mckarikaji kama jakaya au bashe, ndiyo utapata matunda,lakini mbunge tu ataimba hadi atajamba bungeni, kama serikali kuu haina mpango basi itabaki hivyohivyoMbunge ni mwakilishi wa wananchi sasa nini maana ya mwakilishi? mwakilishi ni yule anayezisemea Shida na Changamoto za wananchi katoka Jimbo lake na kusimamia utekelezaji wa miradi mbalimbali jimboni kwake kwa niaba ya wananchi.
Kwani shida nini hadi pawe pa moto?Alooo kigamboni ni ya motoo sana, inataka utuliee tuli.