Kifo chenye utata cha Waziri Nicas Mahinda

Kifo chenye utata cha Waziri Nicas Mahinda

Nadhani ilikuwa ni suala la Lufthansa kutaka kum_search wakati yeye akiwa ni waziri, if my memory serves me right.
Kuna watu hawataki kabisa ukweli ujulikane. And yet, hakuna binadamu wa aina yoyote anayeweza kuupoteza wala kuuzia ukweli usiwe wazi. Ni suala la muda tu.
RIP Mzee wa Moustache
 
Kuna watu hawataki kabisa ukweli ujulikane. And yet, hakuna binadamu wa aina yoyote anayeweza kuupoteza wala kuuzia ukweli usiwe wazi. Ni suala la muda tu.
RIP Mzee wa Moustache
Unamaanisha nini Mkuu? Funguka zaidi.
 
Alikuwa na kiwanja Mbezi ambacho hakijajengwa. Akaja Mzungu fulani akajenga kwenye kile kiwanja,Mahinda akamuacha Mzungu akajenga nyumba ghorofa hadi ikaisha.

Baada ya nyumba kumaliza kujengwa, Mahinda akamwambia mzungu nipe funguo za nyumba yako sababu umejenga kwangu.

Baada ya kufuatilia wakaona ni kweli, Mzungu akaomba waongee Mahinda kakataa.Mzungu kapanda ndege kurudi kwao.

Baada ya muda Mahinda akauawa. Je, hapo kuna uhusiano kati ya mzungu na kifo?

Mwenye details atusaidie.
Ndo maana tunapambana nchi iwe tajiri!! huu ujinga unafanyiaka kwene nchi masikini Waziri anauliwa na mfanyabiashara tena foreigner😀Ngoja niwe raisi
 
Huyu alikujaga kwenye kampeni ya Ubunge pale IDM Mzumbe na sisi wanafunzi wa Mzumbe high school tulihudhuria huo mdahalo maana tulishafikisha miaka 18.
Raia mmoja akamuuliza swali zuri na akalipangua vizuri aliulizwa wewe ni msomi na ni mhadhiri wa kiwango cha juu kwanini utoke kwenye kazi yako uingie kwenye siasa?
Akajibu hata Nyerere alikuwa mwalimu kama mimi lakini alitoka akaacha kazi yake akaona aingie siasa ndio atahudumia wananchi wake zaidi.
Mimi nimesomea Bulgaria chuo kikuu cha Sophia nina Shahada ya juu ya phD.Kule chuo kikuu ninawanoa vijana wengi sana kuziba pengo langu ndio nikaona niingie kwenye siasa nihudumie wananchi wangu vizuri zaidi hasa kwenye sekta ya viwanda maana nina taaluma ya kemia.
Na ni kweli akaja kuwa waziri wa viwanda na biashara.Na katika somo la inorganic chuo kikuu kuna mahali tulisoma kuwa Titanium ni interstitial element.
Sasa kuna mjadala bungeni ulizuka kuyajadili madini ya Titanium ya Liganda jamaa alijibu ki ufundi sana na kitaalam hoja hiyo.
 
Duh asee nchi hii Ina Mambo mengii. Duh i'la ujumbe nilioupata ni kwamba ukijichanganya TU ukagusa maslahi ya wakubwa wenzio. Hutabaki. Utaenda TU.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Tulikuwa tunaishi naye jirani kilakala morogoro msomi aliyesahau hata kukarabati nyumbani kwa wazazi wake alipokulia.
Kwa nini wazazi wake hawakukarabati nyumba yao?
 
Huyu alikujaga kwenye kampeni ya Ubunge pale IDM Mzumbe na sisi wanafunzi wa Mzumbe high school tulihudhuria huo mdahalo maana tulishafikisha miaka 18.
Raia mmoja akamuuliza swali zuri na akalipangua vizuri aliulizwa wewe ni msomi na ni mhadhiri wa kiwango cha juu kwanini utoke kwenye kazi yako uingie kwenye siasa?
Akajibu hata Nyerere alikuwa mwalimu kama mimi lakini alitoka akaacha kazi yake akaona aingie siasa ndio atahudumia wananchi wake zaidi.
Mimi nimesomea Bulgaria chuo kikuu cha Sophia nina Shahada ya juu ya phD.Kule chuo kikuu ninawanoa vijana wengi sana kuziba pengo langu ndio nikaona niingie kwenye siasa nihudumie wananchi wangu vizuri zaidi hasa kwenye sekta ya viwanda maana nina taaluma ya kemia.
Na ni kweli akaja kuwa waziri wa viwanda na biashara.Na katika somo la inorganic chuo kikuu kuna mahali tulisoma kuwa Titanium ni interstitial element.
Sasa kuna mjadala bungeni ulizuka kuyajadili madini ya Titanium ya Liganda jamaa alijibu ki ufundi sana na kitaalam hoja hiyo.
Historia nzuri umetupa
 
Alikuwa na kiwanja Mbezi ambacho hakijajengwa. Akaja Mzungu fulani akajenga kwenye kile kiwanja,Mahinda akamuacha Mzungu akajenga nyumba ghorofa hadi ikaisha.

Baada ya nyumba kumaliza kujengwa, Mahinda akamwambia mzungu nipe funguo za nyumba yako sababu umejenga kwangu.

Baada ya kufuatilia wakaona ni kweli, Mzungu akaomba waongee Mahinda kakataa. Mzungu kapanda ndege kurudi kwao.

Mahinda alikuwa Mbunge na Naibu Waziri Viwanda na biashara kisha Naibu Waziri Maliasili na Utalii alipigwa risasi nyumbani kwake mwaka 1997.

Pia soma
- Nape Nnauye: Sheria ya vyama vya siasa nchini iangaliwe tena

Viongozi na Wanasiasa wengine waliowahi kupigwa riasasi
- Utata kifo cha hayati Abeid Karume

- DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

- Wakili mtetezi wa ICTR Prof. Jwani Mwaikusa auawa Tanzania

- Simulizi: Kisa na Mkasa wa Mauaji ya Jenerali Imran Kombe (Mkurugenzi Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa-TISS)

- TANZIA - John Mwankenja auawa kwa risasi

- Dkt. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

- TANZIA - Waziri Salome Mbatia afariki dunia, maswali yaibuka!

- Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

- Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana

- Askari polisi aliyepigwa risasi na majambazi Tanga afariki
Alisona Azania huyo.
 
Back
Top Bottom