Kifo chenye utata cha Waziri Nicas Mahinda

Kifo chenye utata cha Waziri Nicas Mahinda

Wakati anauawa Prof Mahinda alikuwa Mbunge wa Morogoro kaskazini hakuwa tena Waziri wala Naibu Waziri.
Mtoto wake akihojiwa na Media alisema walipovamiwa Baba yake alikuwa na Bastola yenye risasi moja na alipoifyatua hakuwa na nyingine wakamuua na baadae wakapekuwa hati zake mbalimbali lakin hawakuondoka na kitu chochote wala kumjeruhi mtu yeyote. Waziri Mkuu wa wakati huo Mh. Fredrick Sumaye aliahidi kutafuta wauaji lakin hawakufanikiwa kuwapata. Mwingine alieuawa kwa style hii ni Advocate Kapinga wa hukohuko mbezi beach lakin huyu waliiba Prado lake likakutwa Tabata garage baada ya Mkapa kuamuru Polisi kusaka wahusika kabla hajazikwa.
Advocate Eliuther Kapinga. Shamba boy wake nasikia alihusika kwenye tukio pia.
 
Nchi hii mauzauza yameanza siku nyingi sana,Kuna waziri alikuwa anaitwa Diria nae alikuwa na kashfa ya kuuza mapoda huko mbele
Kuna jamaa walikuwa wanadai ndiye Baba halisi wa "Ahmada Umelewa" wa Unguja.
 
Alikuwa na kiwanja Mbezi ambacho hakijajengwa. Akaja Mzungu fulani akajenga kwenye kile kiwanja,Mahinda akamuacha Mzungu akajenga nyumba ghorofa hadi ikaisha.

Baada ya nyumba kumaliza kujengwa, Mahinda akamwambia mzungu nipe funguo za nyumba yako sababu umejenga kwangu.

Baada ya kufuatilia wakaona ni kweli, Mzungu akaomba waongee Mahinda kakataa. Mzungu kapanda ndege kurudi kwao.

Mahinda alikuwa Mbunge na Naibu Waziri Viwanda na biashara kisha Naibu Waziri Maliasili na Utalii alipigwa risasi nyumbani kwake mwaka 1997.

Pia soma
- Nape Nnauye: Sheria ya vyama vya siasa nchini iangaliwe tena

Viongozi na Wanasiasa wengine waliowahi kupigwa riasasi
- Utata kifo cha hayati Abeid Karume

- DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

- Wakili mtetezi wa ICTR Prof. Jwani Mwaikusa auawa Tanzania

- Simulizi: Kisa na Mkasa wa Mauaji ya Jenerali Imran Kombe (Mkurugenzi Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa-TISS)

- TANZIA - John Mwankenja auawa kwa risasi

- Dkt. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

- TANZIA - Waziri Salome Mbatia afariki dunia, maswali yaibuka!

- Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

- Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana

- Askari polisi aliyepigwa risasi na majambazi Tanga afariki
Sidhani kama hiyo ndio sababu halisi iliyopelekea kifo chake.
 
Wakati anauawa Prof Mahinda alikuwa Mbunge wa Morogoro kaskazini hakuwa tena Waziri wala Naibu Waziri.
Mtoto wake akihojiwa na Media alisema walipovamiwa Baba yake alikuwa na Bastola yenye risasi moja na alipoifyatua hakuwa na nyingine wakamuua na baadae wakapekuwa hati zake mbalimbali lakin hawakuondoka na kitu chochote wala kumjeruhi mtu yeyote. Waziri Mkuu wa wakati huo Mh. Fredrick Sumaye aliahidi kutafuta wauaji lakin hawakufanikiwa kuwapata. Mwingine alieuawa kwa style hii ni Advocate Kapinga wa hukohuko mbezi beach lakin huyu waliiba Prado lake likakutwa Tabata garage baada ya Mkapa kuamuru Polisi kusaka wahusika kabla hajazikwa.
Sipati picha huo msako ambao Rais mwenyewe yuko front 😄😄
 
Back
Top Bottom