Hii ndio ukweli, maana namkumbuka huyu mzee Mahinda tulikua tunapiga nae sana maji pale Georgis sie tukiwa vijana wadogo wa chuo, alikua mtu wa kupenda chini sana. Na hapo nyumbani kwake alikua anaishi mwenyewe tu hakua na mke. Yeye alikua anazalisha tu na kuacha, ugonjwa wake ulikua kinywaji chake na kuwavua chupi wanawake wazuri wa mjini. Nicas mahinda alikua mcheshi sana na rafiki wa vijana wengi wa enzi hizo., kifo chake kilikua cha utata sana ila nyepesi nyepesi wakati huo ni kua alikua akiiba mke wa mtu na akampa uja uzito.