Kifo chenye utata cha Waziri Nicas Mahinda

Kifo chenye utata cha Waziri Nicas Mahinda

"A former Tanzanian cabinet minister was gunned down at his home outside Dar es Salaam over the weekend, police said yesterday. Nicas Mahinda, a member of parliament and former natural resources and tourism minister, was showered with bullets on Sunday by a gang of about 30 thugs who jumped over the fence of his compound. Twenty-five people have been arrested in connection with the incident."Great Lakes: IRIN Update No.78, 01/14/97

"...following the murder of Professor Nicas Mahinda MP, are given below. Some mystery surrounds the death of Professor Mahinda. The police have been quoted as saying that the MP was probably killed by a bullet from his own shotgun fired by his mason, Mr Franco William, while some 30 armed bandits were raiding the professors beach house in Dar es Salaam. Mr William was arrested."
Tanzanian Affairs » Issue 57

HAYA NIME GOOGLE
Mwaka 97 nilikua darasa la pili,sitaki hata kujua wala kuuliza
 
Alikuwa na kiwanja Mbezi ambacho hakijajengwa. Akaja Mzungu fulani akajenga kwenye kile kiwanja,Mahinda akamuacha Mzungu akajenga nyumba ghorofa hadi ikaisha.

Baada ya nyumba kumaliza kujengwa, Mahinda akamwambia mzungu nipe funguo za nyumba yako sababu umejenga kwangu.

Baada ya kufuatilia wakaona ni kweli, Mzungu akaomba waongee Mahinda kakataa.Mzungu kapanda ndege kurudi kwao.

Baada ya muda Mahinda akauawa. Je, hapo kuna uhusiano kati ya mzungu na kifo?

Mwenye details atusaidie.
Kolimba aliitema CCM, aliingia White House anatembea kwa tabasamu ili ahojiwe na halmashauri kuu ya CCM, alitoka maiti.
Mpaka leo hatujui kilichotokea ndani ya ukumbi.
 
Ni kweli Prof. Nicas Guido Mahinda alikuwa Naibu Waziri, si Waziri. Ilikuwa katika serikali ya Mwinyi mwishoni, lakini alivuka na kuingia awamu ya Ben ya kwanza.

Mauaji yalitajwa na serikali kuwa ni "Homicide" iliyosababishwa na vitendo vya ulipizaji visasi.

Aliyeleta mada atueleze ni orofa lipi huko Mbezi.
Asante kwa ufafanuzi mkuu.
 
Mahnda?
Nicas?
sjawahi kumsikia!
alikuwa wizara gani
Huwezi kumfahamu wewe ni mtoto wa juzi!! Nicas Mahinda alikuwa professa wa UDSM faculty of science wakati huo;baadae akaja kuwa mbunge wa huko Morogoro na akateuliwa akawa naibu waziri, wizara ya viwanda na biashara mpaka hapo mauti yalipomfika!

Kuhusu kısa cha kifo chake sidhani kuwa hii hadithi ni sahihi; Nicas kifo chake kilitokana na kupigwa risasi na majambazi nyumbani kwake na kwa wakati ule ilisemekana chanzo cha balaa hilo ni mambo yaliyohusu madini huko jimboni kwake alikokuwa anawakilisha mkoani Morogoro. Nicas hakudhurumu nyumba ya Mzungu sio kweli.!!
 
Mambo haya yana muda mrefu sana nchini kwetu na bado hatuoni njia ya kuyadhibiti kwa sababu yanawanufaisha watu fulani.....so sad.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kumfahamu wewe ni mtoto wa juzi!! Nicas Mahinda alikuwa professa wa UDSM faculty of science wakati huo;baadae akaja kuwa mbunge wa huko Morogoro na akateuliwa akawa naibu waziri, wizara ya viwanda na biashara mpaka hapo mauti yalipomfika!

Kuhusu kısa cha kifo chake sidhani kuwa hii hadithi ni sahihi; Nicas kifo chake kilitokana na kupigwa risasi na majambazi nyumbani kwake na kwa wakati ule ilisemekana chanzo cha balaa hilo ni mambo yaliyohusu madini huko jimboni kwake alikokuwa anawakilisha mkoani Morogoro. Nicas hakudhurumu nyumba ya Mzungu sio kweli.!!
Mwenyewe yupo huko Kikaangoni sijui kashakuwa kuni,sisi twamjadili,
 
Back
Top Bottom