Kifo chenye utata cha Waziri Nicas Mahinda

Kifo chenye utata cha Waziri Nicas Mahinda

"A former Tanzanian cabinet minister was gunned down at his home outside Dar es Salaam over the weekend, police said yesterday. Nicas Mahinda, a member of parliament and former natural resources and tourism minister, was showered with bullets on Sunday by a gang of about 30 thugs who jumped over the fence of his compound. Twenty-five people have been arrested in connection with the incident."Great Lakes: IRIN Update No.78, 01/14/97


"...following the murder of Professor Nicas Mahinda MP, are given below. Some mystery surrounds the death of Professor Mahinda. The police have been quoted as saying that the MP was probably killed by a bullet from his own shotgun fired by his mason, Mr Franco William, while some 30 armed bandits were raiding the professor’s beach house in Dar es Salaam. Mr William was arrested."
Tanzanian Affairs » Issue 57

HAYA NIME GOOGLE
inasemekana ishu ya kuuzwa Loliondo "akiwa waziri wa maliasili alikuwa ataki eneo hilo liuzwe.uenda nayo ilikuwa sababu
 
Haya yote yaliyochangiwa ni kufikirika tu, hakuna mwenye jibu moja kwa moja, mimi nilienda msibani kwake, baada ya kutoteuliwa kuwa waziri alihamia nyumbani kwake mbele ya bahari baech hotel, ni mwendo toka bahari beach, watu walikuwa hawajajenga kabisa kule viwanja vilikuwa bado mapori, ni rahisi ata wezi kuja kukuvamia ata simu za mkokoni au landline sizani kama alisha funga wakati
 
inasemekana ishu ya kuuzwa Loliondo "akiwa waziri wa maliasili alikuwa ataki eneo hilo liuzwe.uenda nayo ilikuwa sababu
Wapo watu pepo yao ipo hapa duniani lakini kwa Mungu ni jehanamu(motoni)tu.Kila unachofanya duniani kutaka umaarufu isije ikawa ni chukizo kwa Mungu labda uamini kuwa hakuna Mungu.
 
Aliwahi kuongoza wizara mbali mbali ikiwamo wizara ya biashara na viwanda ambako alikuwa naibu waziri.
Kabla ya hapo alikuwa mhadhiri mwandamizi UDSM
 
Lakini kumbuka kuwa alikuwa na bifu na wahindi wa Morogoro kwa kuwa walidhani kuwa huwa anafunua chupi ya shamim Khan, kama hujui tuachie sie wazee wa muji kasoro bahari.
yes no ndo sababu mzee mwenzangu
 

20160621_201729.jpg
 
Kama kuna uhusiano ktk jambo hilo basi malipo ya dhulma yameshika hatamu.
 
Vipi kifo cha Amran Mayagila? Kuna wanaosema ni suicide, wengine wanasema murder.
 
Back
Top Bottom